Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'm only saying what the contractor said. Please re watch the video, skip up to 1:12 and listen to what the man is saying.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimekuekea wewe ujionee raha ya dunia na bado mutalia huu mwaka🤣🤣👇👇👇
Wameanza vizingizio ujenzi umeisha
Screenshot_20200130-002402_YouTube.jpg
Screenshot_20200130-002315_YouTube.jpg
 
Kwa mtanzania hizo ni za kimataifa...juu ya kutovuka mipaka kuona dunia...kila mtu husema mama yake ndio best cook.....but point mnamiss vibaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Reli inayotumia mafuta mazito na kutoa moshi kama hiyo yenu tunayo,
Mchina alicho wafanyia 😂😂😂 ni machoos tu,
Yaani karne hii mnajengewa Reli ambazo Tz inazo toka kitambo halafu unakuja kuongelea hapa mambo ya best cook 😂😂😂
 
Did I ask you ya 1600MW? I only asked for 1800MW. Hiyo ya 1600MW ni viherehere vyako nd'o vilikuwasha

Sent using Jamii Forums mobile app
What u posted is 1300MW ryt na nikakuthibitishia sio 1300 ni 1600+ ni sawa hapo sasa tulia sindano inakuja hapa akili yako itakaa sawa tu hata kama unachuki na magufuli ila akili itakaa tu🤣🤣🤣🤣
 
Wakiona post za wakenya si wanakuja wengi kama nzige...
We have normally dared tanzanians to let free movement of goods and services between the two nations na wanatuogopa.....hehe. it feels good to be Kenyan
Screenshot_20200130-003803_Lite.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
What u posted is 1300MW ryt na nikakuthibitishia sio 1300 ni 1600+ ni sawa hapo sasa tulia sindano inakuja hapa akili yako itakaa sawa tu hata kama unachuki na magufuli ila akili itakaa tu
Ulisema your installed capacity is 1800MW and that's what I want to see, hizo story zingine ngoja akina Geza upige nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom