Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitaki upate tabu budaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Akili itakaa sawa tuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1340232View attachment 1340233

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
images - 2020-01-30T001418.553.jpeg
images - 2020-01-30T001409.080.jpeg
 
Kwasababu ndivo itakavokua utake wewe usitake wewe haijengwi nje ya design subiri ikamilike alaf uongee upuuzi wako hapa

Leta link kua imefika 90%
From the constructor mouth. He is saying that only remaining thing on that building is cladding. You can skip up to 1.12 to hear it for yourself.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
From the constructor mouth. He is saying that only remaining thing on that building is cladding. You can skip up to 1.12 to hear it for yourself.




Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio maana nnm nimekwambia wewe huna akili 90% ni general ya ujenzi wa station + via duct 🀣🀣🀣🀣🀣 station ya dar ishaanza kuwanyima usingizi

But ukizungumzia station alone haijafika 90%
 
Your station is more than 90% complete, that's what I want you to accept. And it's not even 50% close to what is in the renders.
Ndio maana nnm nimekwambia wewe huna akili 90% ni general ya ujenzi wa station + via duct station ya dar ishaanza kuwanyima usingizi

But ukizungumzia station alone haijafika 90%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol.......mnajaribu kama ldc tu.mwisho wa siku hii pr mnafanyia ccm haisaidii maskini mtanzania wa madongoporomoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu sana maumivu uliyoyapata na unavyozidi kuyapata baada ya kuona hizo picha,
Hizi hujawahi kukaa Chini ukawaza hiyo Kenya mido inkamu kantrii inayotegemea misaada ya chakula kila mwaka? Halafu ldc Tanzania inajitosholeza na chakula hadi nyingine kuuzwa,
Hujawahi waza hiyo pesa mliyopigwa mkajengewa reli inayotumia mafuta mazito tena kwa bei kubwa mnoo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Your station is more than 90% complete, that's what I want you to accept. And it's not even 50% close to what is in the renders.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan we unatatizo gani narudia kukwambia subiri ujenzi iishe alaf tuone kama utaongea ww na nitakuiumbusba usijal🀣🀣🀣🀣🀣

Hamuna raha kabisa
 
Ukipata zingine ziweke asee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ napenda namna hawa mabumunda wa kikunya wanavyo onesha chuki na wazi waziwazi.
Hahahhaha yani wamekosa raha mm nakwambia huu mwaka ekeni maneno yangu kama akiba mama mutawaona humu mutakuja nambia🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom