Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza kwanz wakajaribu Nakuru juu hapa hawawezani na Mombasa hata kidogo. Unasau number of dollar millionaires Mombasa ni sawia na Dar?
Mombasa mnaikuza lakini haipo hata top 20 katika miji bora Africa inapigwa na kampala ,adis Ababa kwa kila idara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hvi wewe aviation industry unaona ni sawa na kula bajiaπŸ˜€πŸ˜€ ukiekeza kwenye sector mahali popote kuna plan ya kwanza kurehesha faida kanunua ndege 11 brand new is not like buying githeri fala wewe yani miaka mitatu na still ndege zinakuja miaka tofaut na bado zingine zinakuja, Atcl inakunyima usingizi
 
Nairobi bado hijafikia kua matured unachekesha mno na comment zako za ki layman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good sasa zoom hio pic yani umeleta picha nzuri sana iliopigwa umbali mkubwa sana sasa zoo. Alaf post tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Hebu zoom kisha Upost. Make it simple for us
 
I know that's the best road in the whole of Kijitonyama so definitely you have to show it. Back to the question, is that road Kijitonyama ama it's just a road passing through Kijitonyama?
Angalia tena picha uliyopost ukazungushia duara na alama ya ulizo kisha angalia na picha niliyopost,
Inauma lakini imebidi uzoee tu maama hakuna namna,
Wala sijakuonesha barabara ni macho yako ndio yameona.
 
Hata ukiongeza ikafika 76% huwez badili ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…