Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti enhh ujinga ushamaliza au bado 😀😀😀 jengeni mujaze density ya Nairobi bado sana
Mbona unatapatapa Swali umeuliza? Kama unaamini Dar imejengeka sana, umeambiwa uingie kwenye battle ya 20+ floors na badala yake unajibu kwa povu
 
Old photo. Very big difference at ground level between downtown and uptown. Camera angle doesn't even show half the CBD
Siongei na wapuuzi nenda Google uangalie hayo majengo yako over 20 mangap na usijifanye hujui ukweli
 
Screenshot_20191206-213734_Instagram.jpg
 
ipo lakini kwa ground level those are very distinct areas of town. Either way, even New York has a downtown that looks even worse
Uhehehehhehe kumbe ipo asante sana wewe ni mkenya wakwanza kukubali ukweli
images - 2020-01-21T140929.221.jpeg
images - 2020-01-21T140933.593.jpeg
 
Don't be lazy my friend, pitia this link na ukipata Dar hapo please shout my name.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa kusikia below poverty line muko juu nashangaa kusikia slums za dunia nzima ziko Nairobi bila kusahau nashangaa kusikia mji hauna maji😀😀😀😀😀😀 watu wanalala na njaa ila kwa kujisifu tu hamujambo
 
Back
Top Bottom