Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukasahau hzi😀😀😀😀👇👇👇
2273785_2231914_1575546089087.png
 
Show me any place hizo mikebe zishaipewa any award. Ukinionyesha natoka JF mbio

Sent using Jamii Forums mobile app
So ukipewa awards maana yake mumepewa pesa😀😀😀😀😀😀😀😀 tulia kwanza shindana ifike panapostahili 🤪🤪🤪

Yani mzungu hua anawatia ujinga sana na awards 😀😀😀😀
 
Ndo walivyo hawa wazalendo mbuzi wa humu ,wak kama wajinga yaani wao kukubali ukweli ni tatizo lakini at the same time wanao jibizana nao huwa kwenye ukweli wanakubali lakini sio akina geza na genge lake,watakutukana wee na kuishia kusema wewe ni mkenya sasa huwa sijali nilishawapuuza
Binafs kwenye jambo zuri natoa credit haijalishi ni Kenya au Tzn labda kwa vile inaitwa battle hutakiwi kukiri penye tatizo ndo sijajua sasa
Ndo mana msiojua maana na kutojiamini km nyie huwa tunawapa uraia wa Kunyaland ktk jukwaa hili cz hamna faida na tz yetu kwny uzi huu
Screenshot_2020-01-21-13-35-19.jpeg
Screenshot_2020-01-21-13-39-34.jpeg
 
Eti enhh ujinga ushamaliza au bado 😀😀😀 jengeni mujaze density ya Nairobi bado sana
Tunatoka Nairobi mse. Our focus is shifting to other counties and countries

 
ndoto tu, Dar is a non-starter. Ile road trip yako ya Kisumu ungemalizia NBO haungekuwa unapiga mdomo kwenye huu uzi

 
Back
Top Bottom