Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kuishiwa ni mbaya. I'm giving you different photos za CBD wewe umekomaa na picha zenye ulianza kupost 2017. Haya zipost tenaView attachment 1329492

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiskie uko nyumban😀😀😀😀😀
IMG_20191226_230551.jpg
 
Angekuwa ni mzungu kachanganya majiji ya Afrika wala usingemgusa lkn kwakuwa aliyechanganya ni mswahili lazima aonekane amejiaibisha daahh hii ngozi hii cjui lini itajiamini
Hiyo yake ni ujinga. Ujinga haichagui ngozi. Halafu the way he was talking with confidence 😂 😂 😂
 
Shida yako ni nini haswa? Kama Mwenye alifungua uzi ndio alisema hii ni battle sasa mbona unawashwa? Soma description ya huu uzi ndio urudi hapa na ujinga yako
Should know the content of the msg b4 replying
 
Back
Top Bottom