Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie mnakua kama hamjasoma wakati mmesoma,jibu ni rahisi tu kama nyie mnajivunia station ya reli nasisi tunajivunia stand ya kisasa ya bus ambayo Hamna, you don't have what we got and that is what makes us being different, you should have learn b4 how to respond to your hommie in arguments
Hiyo ni kweli tuusan, ila nilikuwa nikitaka kumuonyesha jamaa mwingine hapa!
Mambo mengi yanayoweza fananishwa hapa hamyajibu sababu hamwezi, Kwetu ambayo hatuwezi jibu ni machache, BRT na Stani ya basi tu!! Labda muweke bahari!!

Na sisi tukishindwa kujibu basi tunatii!!
 
Going down in Nairobi, Kenya Vs Germany 15 aside Tatu City Tournament
KVG.JPG

DA1cplQXYAA0OtD.jpg

DA0Z60kXcAIdZhF.jpg
 
Ichoboy01, Nice pics, makes me change my perception of Bongo.

However, Hii picha, Tanzania hutumia white katikati, hii ina yellow?

Pili Ukiifanya Google reverse search inakuletea mambo kama haya

View attachment 515249 View attachment 515250

You must have mixed up, because this road is not in Tanzania.

Second pic, you got it, it was first posted by a Tanzanian by the name Zacharia Hanns on Twitter

Haha.... wahamishaji visivyohamika
 
Stand ya magari hapo mmetupiga 10 nil ...hehehe. Ile Machakos country bus ya Nairobi hata mimi huogopa kuenda huko. ...ya easy coach ndio inakaa atleast.
 
Stand ya magari hapo mmetupiga 10 nil ...hehehe. Ile Machakos country bus ya Nairobi hata mimi huogopa kuenda huko. ...ya easy coach ndio inakaa atleast.
HaHaha basi vyema...maana tu za apa dsm Ni nzur almost zote kuna baadhi ya vitu tuko makini
 
HaHaha basi vyema...maana tu za apa dsm Ni nzur almost zote kuna baadhi ya vitu tuko makini
Shida ni there is no land in Nairobi to make like the ones in Dar. ...unless we restrict matatus from entering the CBD hapo mgomo wa matatu na demonstrations zitatokea. ...and of course for political capital. ..mwanasiasa huona kama ni kura atapoteza.But that's a lesson Nairobi should learn from Dar
 
Ichoboy01, Nice pics, makes me change my perception of Bongo.

However, Hii picha, Tanzania hutumia white katikati, hii ina yellow?

Pili Ukiifanya Google reverse search inakuletea mambo kama haya

View attachment 515249 View attachment 515250

You must have mixed up, because this road is not in Tanzania.

Second pic, you got it, it was first posted by a Tanzanian by the name Zacharia Hanns on Twitter
Hapana sio Barabara zote zina mstari mweupe katikati hapa Tz, Huo mkeka wa mafinga achana nao kabisa sijajua Hiyo project kama itafika mpaka tunduma (boarder to zambia)? Maana now Hiyo project inakaribia mbeya.
 
I think Tanzanians mnapenda kuishi in denial sana....ama most of you suffer from selective amnesia. Mnaringa mko na opportunities na gikomba market watanzania wamejaza wakitafuta riziki,hata kwa mjengo wako... mimi nimewahi employ maid mtanzania akikuwa msukuma.Kenya and Tanzania are like siamese twins and we face similar challenges. Infact in reality we are very friendly to Tanzanians but nyinyi mkituona huko kwenu mna tu harass sana.
All East Africans we are friends every where but the difficult is in this battle both national's representative wants to be high, you think who will accept to be low? But I heard that in Kenya there is tribalism so Tanzanians are not comfortable in kenya because you can't treated equal as we treat them in our country, But some Kenyans who are living in Tanzania are very comfortable. Good example in recent weeks I don't remember yet, but I think one of your minister prohibited gas for domestic use from Tanzania to enter Kenya, so you thinks which country is jealous? Some of Kenya here runs consultant companies,business etc we let them do as they can.
Screenshot_2017-05-28-07-53-47.png
 
All East Africans we are friends every where but the difficult is in this battle both national's representative wants to be high, you think who will accept to be low? But I heard that in Kenya there is tribalism so Tanzanians are not comfortable in kenya because you can't treated equal as we treat them in our country, But some Kenyans who are living in Tanzania are very comfortable. Good example in recent weeks I don't remember yet, but I think one of your minister prohibited cement from Tanzania to enter Kenya, so you thinks which country is jealous? Some of Kenya here runs consultant companies,business etc we let them do as they can.

Tafadhali andika kwa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom