Paul mkombozi
Member
- Mar 22, 2017
- 44
- 12
Sema wawekezaji kutoka Kenya na sio Kenya company!
Wawekezaji washakua Kenyan company?????hahaa a kenyan company making all this hapen
Kwani sportpesa iko based wapi?...mko na u fuckdem sanaWawekezaji washakua Kenyan company?????
😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀 ngoja uone watakavotengeza biashara TanzaniaKwani sportpesa iko based wapi?...mko na u fuckdem sana
Mzee wa IQ aisee...hawezi kuaminiWapi Mr wanjala a.k.a Mzee wa IQ
Inamaana mumepunguza safari nyingi sana za nje ya bara la Africa
View attachment 515369
japo kaandika kwa "kingereza kilicho vunjika vunjika" (broken english),point yake imeeleweka.Tafadhali andika kwa Kiswahili.
So your argument is 40% of kenyans, which is just about 16 million are jobless so they do absolutely nothing....guys, dummy alrert!! I realized these guy's arguments are nothing much of baby talk and i can't stoop to your level even if i wanted to, so good luck with your blank shots chooboy. Do you even stop to think before you type? Or you let the fingers do the thinking and typing at the same time, you're making a fool of yourself man. Unajiaibisha sana.Hvi kwa akili yako wangekua self entrepreneurs unafkiri wangeekwa kwenye kundi la jobless people??? Haya mambo yanataka akili tu, wizi na ujambazi ni mkubwa Kenya kwasababu vijaana hawana ajira, na kwann hawana ajira kwasababu Kenya ina gap kubwa kati ya rich and poor...ndio ukimkuta masikini wa Kenya ujue maskini kweli hana mfano Huyo, na Kenya ndio nchi inaongoza kwa unemployment kubwa duniani....so hakuna haja ya kubishana kila jambo liko wazi