Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeambiwa vizuri Tanzanian road use white kudivide lanes.....so you have proven that the first photo was indeed false...Leo umeshikwa vizuri sana...thumbs up to Wanjala
Ndio maana nimekwambia nilipost 2 pics I think nimepost kwa makosa lakini nilikua nakusudia ile pic nyingine acha kua mtoto mdogo
 
Nakupa nyingine hiyo ujifariji Mr wanjala
View attachment 515252

Hapo basi, nimetii, Safi sana, mbona hivi panakaa Longido??

Niliona Nyingine hapa safi sana, sijui Shega?
huwang1.jpg
 
Endeleeni na repetation photos zenu maana mshapagawa.....mnavamia fani za watu...aisee
 
Naomba upumzike tafadhali😀😀😀
I think Tanzanians mnapenda kuishi in denial sana....ama most of you suffer from selective amnesia. Mnaringa mko na opportunities na gikomba market watanzania wamejaza wakitafuta riziki,hata kwa mjengo wako... mimi nimewahi employ maid mtanzania akikuwa msukuma.Kenya and Tanzania are like siamese twins and we face similar challenges. Infact in reality we are very friendly to Tanzanians but nyinyi mkituona huko kwenu mna tu harass sana.
 
Dude your showing us how foolish you are..an entrepreneur is not employed... Waa something needs to be done on this Tanzanian education system.
Hahahahahah! You are getting flabbergasted with this guys, i see!! It is difficult to understand what happened to them! Is it education system or natural dumbness??
 
I think Tanzanians mnapenda kuishi in denial sana....ama most of you suffer from selective amnesia. Mnaringa mko na opportunities na gikomba market watanzania wamejaza wakitafuta riziki,hata kwa mjengo wako... mimi nimewahi employ maid mtanzania akikuwa msukuma.Kenya and Tanzania are like siamese twins and we face similar challenges. Infact in reality we are very friendly to Tanzanians but nyinyi mkituona huko kwenu mna tu harass sana.
Wakenya wamejaa huku Tanzania wamezaa na hawataki kurudi kwao wanasema Kenya maisha magumu......Tanzania kuna mataifa ya kila aina wanaishi kwa amani na upendo
 
This guys are very dumb...did you read about maji maji rebellion... They believed water will save them from live bullet's ..... Dumbness in Tanzania started way back
 
I think Tanzanians mnapenda kuishi in denial sana....ama most of you suffer from selective amnesia. Mnaringa mko na opportunities na gikomba market watanzania wamejaza wakitafuta riziki,hata kwa mjengo wako... mimi nimewahi employ maid mtanzania akikuwa msukuma.Kenya and Tanzania are like siamese twins and we face similar challenges. Infact in reality we are very friendly to Tanzanians but nyinyi mkituona huko kwenu mna tu harass sana.
hakuna kitu kama hicho sisi tupo na ujirani mwema .......sema wew unajishtukia utani na mbwembwe za humu mnazibeba vichwani mwenu nakuchukulia hata uraiani tupo hivyo aisee hatupo ivyo..
 
Wakenya wamejaa huku Tanzania wamezaa na hawataki kurudi kwao wanasema Kenya maisha magumu......Tanzania kuna mataifa ya kila aina wanaishi kwa amani na upendo
Tanzanians in Kenya are beggars...while Kenyans in Tanzania are entrepreneurs...internalize that
 
Wakenya wamejaa huku Tanzania wamezaa na hawataki kurudi kwao wanasema Kenya maisha magumu......Tanzania kuna mataifa ya kila aina wanaishi kwa amani na upendo
Hata nyinyi wengine wenu husema bongo pesa ni kidogo....so it depends on an individual. The same way some Britons and Italians fell in love with Kenya and chose to stay here.
 
Back
Top Bottom