ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
Ww nioneshe 12 lanes thika nihamu jamii forum 😀😀😀😀😀😀Nikubadilisha goal post sasa? Show me a 12 lane highway Ubongolala nihame jamii forum sa hizi
Ww nioneshe 12 lanes thika nihamu jamii forum 😀😀😀😀😀😀Nikubadilisha goal post sasa? Show me a 12 lane highway Ubongolala nihame jamii forum sa hizi
Mujiandae hapa interchange ya kimataifa ubungo interchange huu mwaka mutalia vzr😀😀😀
Sijui wanawake pale kati sijui kuna hali gani👇👇
Maisha yao ni maigizo 😀😀😀😀😀Si ndo maana JPM anapigaga ban bidhaa zao hawa washenzi! Counterfeit imezidi mara unga umeoza mara sukari iliyooza mara pads mara kuku chooni! Mungiki ni washenzi!
mbona DART walishakatazwa kama unakumbuka mwenye kampuni UDART Kisena alipelekwa mahakamani yeye na mkewe kwa ku-breach mkataba na kutaka kusamehewa kodi! Haya mabasi ya DART yako very modern ISUZU Kenya haina technology hii!Naiomba serikali ya Tz iendelee kuagiza hz bus toka china hzo body anazotengeneza uyo muhindi wa kenya bora tuwape nyumbu watengeneze