Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hama tu milele urudi uswazi View attachment 1324908

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo hapo mukae mkao wa kula mwaka huu 8 to 12 lanes unakuja 🤣🤣🤣👇👇 mutaimba
Alaf munakutana na ubungo interchange ya kimataifa
images - 2020-01-16T132519.357.jpeg
images - 2020-01-16T132531.804.jpeg
images - 2020-01-16T132537.455.jpeg
 
Jifanye mjinga utakavyo. Kwa wenye wameenda shule wanahesabu 12
Hujanijibu swali nakuuliza tena na tena thika highway ina lanes ngap ???@🤣🤣🤣 hii mada ilishakufa hapa zaidi ya mara tano na ilishaisha sasa nataka ww uniambie thika ina lanes ngap
 
Watu wakiambiwa Kenya is Nairobi wanabisha mara ohoo kuna lami mpaka Turkana mara sijui mpaka Lamu! Kiko wapi sasa??

The Kenyan government has said the country’s oil production breaks even from $34 per barrel, indicating a potential windfall from the current international crude oil price of $64.
Tullow says it has suspended Kenya’s early oil export scheme due to severe damage to roads caused by heavy rains in the fourth quarter of last year.
“Trucking remains on hold until all roads are repaired to a safe standard. Work continues with joint venture partners and the Government of Kenya to progress the development project,” the firm said.

Back
Top Bottom