Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Ila kusema kweli mie naona kama city lodge ni wastage ya prime location! Imagine a 3 star hotel at that area? I wish another Rotana was built at this place! kuna umuhimu wa kufanya zones na kupitisha sheria za aina ya hotels zinazoruhusiwa!


