Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LOL wananiachaga hoi tu wanavyoita mitaa yao "ESTATES"

Hili la maji machafu halistui sababu it's obvious that water is a permanent crisis in Kenya
Kwenye counties zingine itakuwa ndio balaa na ndio maana walikimbia ule uzi wa maji 😂😂😂
 
ndio maana majina ya maeneo yakaitwa kingereza upperhill, eastland , westland basi wanajiona kama ulaya kumbe wamekua brainwashed hili wasione matatizo yao ya msingi kama cholera chanzo kikubwa ni uchafu haswa ya maji safi na salama.

kitochi
 
Una uhakika kuwa hazipo Dar?
Ebu leta tuzione,buildings quality kama hizi.

tapatalk_1579087888321.jpeg
tapatalk_1579078358074.jpeg
tapatalk_1579078380733.jpeg
tapatalk_1579088265045.jpeg
tapatalk_1579089922991.jpeg
tapatalk_1579089925605.jpeg
 
Back
Top Bottom