Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ I can feel your pain bro. Maybe you can tell this to tens of multinationals and UN bodies that have made the Kenyan capital their regional, continental or global headquarters. Just in case you didn't know, World Bank carries out all of its Tanzanians operations from their Nairobi office same as United Nations. Niendelee? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Sasa ndo maana nimekwambia ni important kwa nyanya ako,kipi usichoelewa??
UN wameona jinsi wakenya hawana uwezo wa kujenga nairobi wao wenyewe kwa hiyo waliona ni kheri waje waongezee nguvu,hivi ulishawahi kujiuliza kama hao wazungu wa UN wasingekuwepo hapo nairobi ingekuwaje?? Nairobi ingekuwa na vichaka na slums kila kona,hamuwezi kujenga nyie mnachoweza ni kujenga kibanda ya mabati tu
 
Which organization/website is that? Is it a reliable source? Or is it just one of those blogs looking for clicks??

Huo mjadala ulishaisha pitia hapo
Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki
 
Kenya yoooote hakuna jengo attractive uki-compare to Tanzania TPA tower,mawasiliano tower,MNF
 
Ebu usiwe mjinga bwana natural calamites..jaribu kuelewa posti yangu nimekwambia jengo lolote east africa,si kenya pekee linaloweza ku-match TPA tower
Is Kenya not part of East Africa Mr. Know-it-all?
 
Sasa ndo maana nimekwambia ni important kwa nyanya ako,kipi usichoelewa??
UN wameona jinsi wakenya hawana uwezo wa kujenga nairobi wao wenyewe kwa hiyo waliona ni kheri waje waongezee nguvu,hivi ulishawahi kujiuliza kama hao wazungu wa UN wasingekuwepo hapo nairobi ingekuwaje?? Nairobi ingekuwa na vichaka na slums kila kona,hamuwezi kujenga nyie mnachoweza ni kujenga kibanda ya mabati tu
UN wamejenga nini Nairobi? Unafikiri sisi ni kama nyinyi ambao kila jengo linajengwa na kumilikiwa na serikali?
 
Huo mjadala ulishaisha pitia hapo
Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki
Again you are bringing a forum as a source! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ see?
 
Bring me any source saying otherwise, nitafunga account yangu ya jf
Read word by word, from A to Z without skipping even a comma then funga account yako forever. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Is Kenya not part of East Africa Mr. Know-it-all?
Mbona mgumu kuelewa!?!?? Nimekwambia east africa yote na kenya ikiwemo,hakuna jengo attractive kama TPA tower,kama lipo liweke hapa,mbona unayumba?
 
UN wamejenga nini Nairobi? Unafikiri sisi ni kama nyinyi ambao kila jengo linajengwa na kumilikiwa na serikali?
Kenya yoooote jengo zuri ni ile ya mchina GTC nayo bado haijaisha...
Nyie mnaweza jenga mabanda tu ya bati na ghorofa uchwara ambazo kila siku tunaziokota kule mathare
 
Mbona mgumu kuelewa!?!?? Nimekwambia east africa yote na kenya ikiwemo,hakuna jengo attractive kama TPA tower,kama lipo liweke hapa,mbona unayumba?
Attractive Kivipi? Ki akili yako ama? Ni wapi imesemekana kwamba it's the most attractive in EA?
 
Sio K24 pekee leta studio yoyote inayoongoza Kenya nzima narudia tena Kenya nzima ukipata ulete hapa ipo dawa yako ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Citizen-TV.jpg

Citizen tv
 
Kenya yoooote jengo zuri ni ile ya mchina GTC nayo bado haijaisha...
Nyie mnaweza jenga mabanda tu ya bati na ghorofa uchwara ambazo kila siku tunaziokota kule mathare
GTC ni nzuri Kwa lipi? Where has it been ranked as the most beautiful in Kenya? Yani wewe kwako bora tu jengo ni la glass basi ni nzuri !!! There's more to just glass facade that makes a building beautiful.
 
Wewe ni mjinga kila siku nakwambia kitu kizuri si lazima kiwe ranked,sisi sote tuna macho na tunaweza kuona kipi kinavutia na kipi ni ugly.. majengo yote ya kenya ni majengo mabaya mabaya hiyo ni fact,GTC itakuja kuwa nzuri kiasi cha kuweza kupambana na majengo ya dar

Na kuzungumzia glass,kwa sasa bado glass inafanya majengo kuvutia zaidi,huwezi kufananisha hiyo mnara yenu na mawasiliano tower utakuwa unachekesha raia..
 
Attractive Kivipi? Ki akili yako ama? Ni wapi imesemekana kwamba it's the most attractive in EA?

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kwani hiyo "most attractive" ni maneno yanatoka mbinguni au yanakuja tu from no where..hayo maneno "attractive sijui nini" ni mawazo ya watu kama mimi na wewe
Ulisoma shule gani dogo hadi ushindwe kuelewa concept ndogo kama hizi???

We endelea ku-search jengo linaloweza kushindana na TPA ,ukilipata lilete hapa watu tuna hamu ya kucheka
 
Wewe ni mjinga kila siku nakwambia kitu kizuri si lazima kiwe ranked,sisi sote tuna macho na tunaweza kuona kipi kinavutia na kipi ni ugly.. majengo yote ya kenya ni majengo mabaya mabaya hiyo ni fact,GTC itakuja kuwa nzuri kiasi cha kuweza kupambana na majengo ya dar

Na kuzungumzia glass,kwa sasa bado glass inafanya majengo kuvutia zaidi,huwezi kufananisha hiyo mnara yenu na mawasiliano tower utakuwa unachekesha raia..
Sasa ingefaa useome kwamba kulingana na wewe, unaona kwamba TPA is attractive ila usiseme kwamba ndio jengo attractive kushinda zote EA Kwa sababu watu wako na mtazamo tofauti na pia hakuna orodha inayosema kwamba it's attractive kushinda zote. Pengine kulingana nami hiyo TPA ama GTC should not come anywhere close to being called attractive. You have a very rigid mind and please don't make us think or reason the same way you do or look at things
 
Back
Top Bottom