tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ujumbe mzuri sana...HAPPY NEW YEAR 2020
Ushabiki kando, am happy EAC is doing fine development wise if we compare with the rest of Africa. Hongera zetu. Tumepiga hatua, sasa ni wenyeji tujitume zaidi and benefit from the opportunities created and take advantage of the few developed infrastructure to catapult ourselves to greater heights. Hapa effort ya mtu binafsi ndiyo itamuondoa katika hali duni. Govt is to make the environment condusive, kwa sasa Tz na Kenya wamejaribu, lakini bado twasonga mbele.
I WISH WANA JF WOTE SUCCESS AND GOD'S BLESSINGS MWAKA HUU.View attachment 1309029
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy New year 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
