Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naibuore.
805cceaefb08bce4fb6624a709589215.jpeg
453263e88a7fee7de48dd1746f4ca693.jpeg
e8fba03ecca2d5b1524b88def0c402c8.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is this? This thing can't even be compared to Ngara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie washkaji mnaichukulia poa Dar sio!??

aisee, fanya kusahau kuhusu zile nyumba za uswazi zenye bati za kutu mnazo post hapa, heb jaribu kuuliza kitu kuhusu outside those places

1500 km sq sio tuu kuhusu tower 3 na zile nyumba za bati zenye kutu, kuna zaidi ya hizo mzee....

Lakini ukweli ni kwamba hizo nyumba za bati zenye kutu cover a big are of Dar
 
Umeshindwa kupata pics mpya ukaresort kurudia picha za kitambo? That's why I have been saying that Dar is static. Vile mlijenga towers tatu 2014 hamjawahi jenga ingine tena. In EA it's only Nairobi and Addis Ababa that are developing rapidly, right now Addis have 8 buildings over 30 floors just like you but there are still numerous in excavation stage. Nairobi iko na 11 over 30 floors with others coming up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkenya mwenzenu uyoo anawapa
 
Back
Top Bottom