Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aerial view weka tafadhali Dar vs Nairobi., tucheke kidogo.
Labda satellite ya Kenya mliyouziwa mbovu ndiyo inaonyesha slum in dar
Nairobi slum hadi cbd kaaah!!! Hivi wakenya mkipata Demu mnampelekaga wapi ? Au kwenye makazi ya slum ? Hapa bongo uwezi kupata Demu wa kumpeleka Kwa slum hata awe kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hii report., facts.


Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ndo ikawa comment yko ya chuki kanakwamba kwenu hamna shida af habar ynyw imekaa kimajungu source haijajitosheleza upumbavu mtupuu
Screenshot_2019-12-28-07-37-54.jpeg
 
Soma hii report., facts.


Sent using Jamii Forums mobile app
Af hili swali halikuwa lako mwenyewe akija atajibu
 
Defend Tz against this report with relevant facts, not hearsays


Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri ile ripoti ya unemployment rate.
 

Attachments

  • aerial-view-of-the-haven-of-peace-city-of-dar-es-salaam-picture-id943878956.jpeg
    aerial-view-of-the-haven-of-peace-city-of-dar-es-salaam-picture-id943878956.jpeg
    39.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_2019-12-22-13-45-48.jpeg
    Screenshot_2019-12-22-13-45-48.jpeg
    65.9 KB · Views: 8
Treni ya deluxe Tanzania imetembea na disco ndani ya treni ikishindizwa na diamond platinum usifkiri kama ishawah tokea kwa nchi za Africa mashariki na kati



 
no boss huku ni za chuma izi ni movable hasa hasa mawakala pia mbao ila kwa saluni na maduka mengi ni kwenye majengo ila pia kuna vibanda hivi ndio vya mbao na bati ila hizo n za kuuzia mboga mboga nyanya na masokoni ila kwa biashara kama saloon na maduka na nyingi ambazo ziko kijasiriamali wako kwenye kupanga frem

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetembea Tanzania maeneo ya Sirare na Tarime na nimekutana Na duka nyingi za bati so unachosema hapa sio kweli
 
Si basi mtuonyeshe hayo mabadikiko (aerials) ama mnaogopa nini? 😂 😂 😂
Tukuonyeshe vp wakati we ndo uli-post picha kujibu bakora za ichoboy,icho analeta picha current, wewe unaleta ten years ago,are you crazy or what?
 
Back
Top Bottom