Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale ndio wamewapumbaza akili deadly., that report is findings ya vile mambo yako kwa sasa, ina maana waendesha nchi (ccm) wameshindwa na kazi., sasa nikuwapumbaza na miradi isiyo na return effects on the life of poor citizen like u.
Sio mambo na CcM hapa yani ww unachekesha sana ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ndio wamewapumbaza akili deadly., that report is findings ya vile mambo yako kwa sasa, ina maana waendesha nchi (ccm) wameshindwa na kazi., sasa nikuwapumbaza na miradi isiyo na return effects on the life of poor citizen like u.

Sent using Jamii Forums mobile app
Embu tutajie hiyo miradi isiyo na tija,
Naona source yako ni jukwaa la siasa 😂😂😂
 
Nimetembea Tanzania maeneo ya Sirare na Tarime na nimekutana Na duka nyingi za bati so unachosema hapa sio kweli
kuna post nlisema io ni kwa sehemu za mjini ila vijijini mbozi zipo ila nilielezea kubase mijini kama huniamini kuhusu mjini ask anyone akupigie pic arusha dar au mbeya ambayo atapata shop za mabati au saloon achana na vibanda au magenge ila kwa rural areas izo duka zipo mtu akikutumia pic ambayo iko up date katika io miji me ntakutumia hela ya lunch mkuu sio lazima ulite huku hata ukintumia dm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukuonyeshe vp wakati we ndo uli-post picha kujibu bakora za ichoboy,icho analeta picha current, wewe unaleta ten years ago,are you crazy or what?
Ten years ago indeed, so nowadays Google earth images take ten years to update! Maybe just in Tanzania alone
 

Attachments

  • manzese980d6ac60f714237b61d83162fdc3f0resize750.jpeg
    manzese980d6ac60f714237b61d83162fdc3f0resize750.jpeg
    59.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom