Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Hizo picha hazina shida,shida unayo wewe..And then tuonyeshe pia na the current status za hizi sehemu za Dar (aerial views) kwa sababu kila kitu kibaya kwenu ni cha 90sView attachment 1304946View attachment 1304948View attachment 1304949View attachment 1304950View attachment 1304951View attachment 1304953
Umekubali kuwa kenya kuna asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye umasikini au bado unabisha maana hata hiyo graph imeonesha.Heheeee!!naona umeanza kusoma alama za nyakati...graph imekueleza vizuri km 2016 tulikuwa na percwnt ngapi...2017,2018 na 2019 hawajaweka...
Sasa wewe endlea kujifariji
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa anapanic sana hadi anaenda kuokota okota picha πππHuyo jamaa nic ni mjinga sana yaani hata kama unaishi maeneo hayo unaweza ukapakataa kutokana kwamba 2012-2019 kuna changes nyingi zimefanyika
Safi sana endelea kuifatilia jf
Hahahahaha wana jezi kabisa kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa wnasubiri vichwa sijapata ona city ya namna hii in my life[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1304763
Nitaondoka ile siku watatoa jukwaa la kenya...Safi sana endelea kuifatilia jf
Km ni 2016 vs 2018 sawa...Umekubali kuwa kenya kuna asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye umasikini au bado unabisha maana hata hiyo graph imeonesha.
Lete ya 2018 tuone au hawajatoa kwa sababu haijapungua.
Mwaka ndio unaisha huu sasa, watatoa graph km kawaida yao..Lete ya 2018 tuone au hawajatoa kwa sababu haijapungua.
Haikupungua ndio maana hawakuangaika kutoa za mwaka uliopita,Mwaka ndio unaisha huu sasa, watatoa graph km kawaida yao..
Utaona ya 2017, 2018 na 2019...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana ujanja huo mkuuLabda wana AC,huwezi juaπππ
Hawezi pata nyumba za mabati mpaka yesu anashuka alaf anapost picha za zaman sana nimeona nyumba mmoja imechorwa kalamu za speedo πππππmungiki ni watu wa kuokoteza okoteza
buddy i never said n slum m naangaliaga tu ila hii n battle so everyone anawaza ur weakness kuliko ur strength ayo makazi ya kisumu me nimeona ni kawaida hata korea kuna mrundikano wa nyumba ila kama mtu anapata umeme maji hospital i see no problem hata yuko anaishi kwenye so called slum so i think makazi ichoboy aliyoyaleta hayana tatizo kwangu mkuu nimeona yameendelezwa lami safi m sijaona tatizo kasoro tu izo nyumba na vibanda vya bati ndio vinazingua ila otherwise ni sehemu nzury kama watu waki work hard wakaendeleza makazi yao kama serikali inavozidi kuwa supportI like honest people like you. watu wanaosema ukweli bila kupumbazwa na uzalendo. Wenzako walishaanza kukana hizo picha Kama ilivyo desturi yao na kusema sio za Tanzania. Okay Nina Swali: picha alizoleta ichoboy za Kaloleni kisumu zilionyesha mtaa ambayo iko na lami hadi taa za barabara na imepangika tu vizuri na nyumba zilikuwa za block ila mkaziita slum. Nasema hivyo Kwa sababu Naona umetaja kwamba yale maeneo ya Arusha niliyoonyesha kuna mabadikiko makubwa na kwamba siku hizi kuna lami. So lami ni bora tu ikiwa Kwenu ila ikiwa kwenye mitaa zetu hazina umuhimu wowote? Ile Kaloleni alioonyesha ichoboy ni bora kushinda Mitaa nyingi sana hata kule Dar ila huku mnaziita slum
yeah zipo ila kwenye ulizotuma hapo nika ku quote ni arusha na ni sehemu ambazo nimepita so nazijua ila za mwanza juu nimeziona mkuu ila sijatia neno maana sijawahi fika mwanza m arusha dar mbeya kilimanjaro naweza nkakuelewesha hali halisi ya makazi yake ndio sikuongelea kuhusu ya mwanzaKuna picha za mwanza nilileta kabla ya hizo za Arusha. Pitia kurasa za nyuma
Likija suala la kenya huaga wnaatoa vitu kw mpango...walitoa graph 2006-2009, 2009-2012, 2012-2015 na ya mwisho ilkua 201-2016Haikupungua ndio maana hawakuangaika kutoa za mwaka uliopita,
Na ukiangalia hiyo article wameiandika mwaka huu na wakatumia hizo hizo data
ningekua arusha ningekupigia izo sehemu exatly ulizopost ila sipo ziko improved kwa miundombinu ila not 100% pia watu wa hayo maeneo nyumba za kuta za block zimezidi sa hv nyumba ya ajabu utakuta ni mbili katika kumi kila mtu anajitahidi kuendelezea eneo lake mkuu japo sio kwamba kumebadilika 100 hapana ila kuna big dfrncMwenzako alisema hizo picha sio za Arusha. Get my point. And by the way, can you show us the current status of those places kabla ya kutuonyesha za kisumu?
Kwa hiyo za nchi zingine wanatoa bila mpango.Likija suala la kenya huaga wnaatoa vitu kw mpango...walitoa graph 2006-2009, 2009-2012, 2012-2015 na ya mwisho ilkua 201-2016
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema hizo ni dream houses π π π Then mtu analeta picha za Kaloleni kisumu then calls it a slum. Look at the way Kaloleni looks from above then compare with those squalors in Dar
Nchi km tanzania wana tweet tu...au huaga hta nynyi mna graph kutoka world bank utuonyeshe kabisa umaskini mjini na vijijini ni vpKwa hiyo za nchi zingine wanatoa bila mpango.