Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi ni tofauti kutokana na
1)Unemployment rate
2)Crime
3)Disorganized
4)Cholera outbreaks
5)Slums
6)Dirty
7)Poor public transportation
9)Water scarcity
10)Poor condition of its riads

Sent using Jamii Forums mobile app
Sindano uliyochonwa bila shaka hayo ndio matokeo yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume huwezi kuwa na wivu kiasi hicho bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know you are dumb so let me break it down for you in simple terms. Inamaanisha ya kwamba ukihesabu idadi ya watu wote wasikini duniani, watanzania huchangia asilimia tatu ya hiyo Hao watu. Kiufupi, Kati ya watu 100 masikini duniani (extreme poverty), kuna watanzania watatu. Umeelewa sasa
Hiyo nimeelewa kitambo onesha yako una asilimia ngapi kama sio 43%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Since you know where they are, si you just make it easier for both of us by showing us where they are 😂 😂 😂
Why would I google something I already know about? I'm trying to educate you, don't try to make yourselves dumber by thinking that you are trying to get back at me with some shenanigans.
 
Acheni ujinga ninyi, hayo maeneo yote hapo kuna activities zinaendelea, iwe ni ofisi, mahoteli, viwanda, au biashara, watu wanaohusika katika hayo maeneo ni " middle class au upper class ". Usitegemee lower class citizen kwenda kufanya shopping, au kwenda kula chakula ktk restaurant hapo Moi avenue. Ninyi kwa akili zenu pungufu mnafikiri low class area lazima iwe ni residential, wajinga sana ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti low class hawezi kula mahali km hapo...labda tanzania ndiko watu wa kipato cha chini hawajitumi hta siku moja nao labda waingia mahali ya kishua wajivinjari kw uvivu wao na ukataji tamaa wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingenge kingi huku hata evidence huna

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huelewi niambie nikutafsirie. Nimekwambia kuwa, nenda google katafute kama hakuna apartments katikati ya jiji la nairobi. Tatizo ni nini kwani? Dharau ama ni kujifanya punguani? Haya yanaweza kuwa mashindano lakini kujifanya mjinga kisa kushinda hoja ni upuuzi tu. Wewe na Nixcie wote ni wapuuzi. Period!
 
Sio maneno ya khanga wewe umeoneshwa majengo ambayo yako underconstruction sasa unataka vifaa wakati majengo hajakamilika bado

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!kwhyo mko mbele katika sekta ya health kw majengo yaliopo U/C...

Tena unajiskia jomba...
Anyway hata zile ambazo zimeshaanza kutoa huduma bado hamna kitu..
Sai nikikwambia leta vifaa vya mlongazila, vile utajaza server tutakimbiana ..
Yani ccm wanunue vifaa halafu wasivipige picha, unawazimu nn..lazima wawaonyeshe wafuasi ndio mzidi kuwakandimiza nyumbu mitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huelewi niambie nikutafsirie. Nimekwambia kuwa, nenda google katafute kama hakuna apartments katikati ya jiji la nairobi. Tatizo ni nini kwani? Dharau ama ni kujifanya punguani? Haya yanaweza kuwa mashindano lakini kujifanya mjinga kisa kushinda hoja ni upuuzi tu. Wewe na Nixcie wote ni wapuuzi. Period!
Kumuita mwenzako mpuuzi bila facts ni umama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good strategy, watalii hao wangekata tickets za kawaida kila mmoja angekuja na airline yake...
Hii maneno lazma loss making KQ iwaume hawa watalii wangekuja kwa scheduled flights wangepata nyomi kiaina! Ila it's a good start for Air Tanzania while waiting to start scheduled flights later on!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna unapindisha mada...
Au hasira zote hutaki kuskia km hayo maeneo hakuna appartments

Sent using Jamii Forums mobile app
Apartment imeingiaje, wakati kinachosemwa ni kuhusu hiyo video inayoonyesha maeneo ya middle class hapo Nairobi ni machafu na barabara zina mashimo. Mlipoambiwa kwamba hayo maeneo ni " middle class areas", kwa ujinga wenu mkasema sio middle class kwasababu hakuna watu wanaishi maeneo hayo. Ninyi kwa ujinga wenu unadhani lazima eneo liwe ni " residential" ndio linaweza kuwa " middle, lower au upper class". Stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huelewi niambie nikutafsirie. Nimekwambia kuwa, nenda google katafute kama hakuna apartments katikati ya jiji la nairobi. Tatizo ni nini kwani? Dharau ama ni kujifanya punguani? Haya yanaweza kuwa mashindano lakini kujifanya mjinga kisa kushinda hoja ni upuuzi tu. Wewe na Nixcie wote ni wapuuzi. Period!
Huyo mjinga anaishi mombasa hafahamu hata Nairobi 😂😂😂 unamuonea bure tu.
 
Acheni ujinga ninyi, hayo maeneo yote hapo kuna activities zinaendelea, iwe ni ofisi, mahoteli, viwanda, au biashara, watu wanaohusika katika hayo maeneo ni " middle class au upper class ". Usitegemee lower class citizen kwenda kufanya shopping, au kwenda kula chakula ktk restaurant hapo Moi avenue. Ninyi kwa akili zenu pungufu mnafikiri low class area lazima iwe ni residential, wajinga sana ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unakana maneno yako mwenyewe? Is it not you ambaye amesema kwamba hayo maeneo wanaishi watu wa kipato cha chini hadi Unauliza eti watu wa kibera wanaishi Kivipi? Stop forcing things bongolala. Nairobi is ahead of Dar and will always be regardless of how much noise you make here. You can shout at the top of your voice here from morning to evening but that won't change anything
 
Apartment imeingiaje, wakati kinachosemwa ni kuhusu hiyo video inayoonyesha maeneo ya middle class hapo Nairobi ni machafu na barabara zina mashimo. Mlipoambiwa kwamba hayo maeneo ni " middle class areas", kwa ujinga wenu mkasema sio middle class kwasababu hakuna watu wanaishi maeneo hayo. Ninyi kwa ujinga wenu unadhani lazima eneo liwe ni " residential" ndio linaweza kuwa " middle, lower au upper class". Stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!moi avenue kuna mashimo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mjinga anaishi mombasa hafahamu hata Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23] unamuonea bure tu.
Unashangaa vile namdunga sindano mwenzako huku si ajabu unajiuliza km nairobi naijuaje juaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Endelea kujiuliza maswali tu hku mambo yangu yansonga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu wewe, point hapa ni kwamba, hizo barabara ni " part of Nairobi down town" kama ilivyo " Samora avenue " huku Dar. Haya maeneo sio maeneo ya low income group, iwe ni shopping, restaurants, au Working areas, these areas belong to middle income population ", acheni kutoka nje ya mada. Nairobi ni hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unaona unavyojifanya unajua ila hakuna hata kitu unajua! That is not even part of Nairobi downtown. Downtown Nairobi inaanza Tom Mboya street all the way to Nyamakima and includes areas such as Acrra road, River road, Luthuli Avenue, Kirinyaga road and so on and so forth. Do your homework well bongolala
 
Mbona unakana maneno yako mwenyewe? Is it not you ambaye amesema kwamba hayo maeneo wanaishi watu wa kipato cha chini hadi Unauliza eti watu wa kibera wanaishi Kivipi? Stop forcing things bongolala. Nairobi is ahead of Dar and will always be regardless of how much noise you make here. You can shout at the top of your voice here from morning to evening but that won't change anything
Joto la jiwe amesha pa rank tayari...ywadaisha km sio middle class area basi patakua ni upper class area[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom