Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,161
- 107,729
The 2 fotos were not taken from the same place!Wapi wale jirani walikuwa wametuchosha na picha ya pili? Are you happy now?View attachment 1303137View attachment 1303138
Sent using Jamii Forums mobile app
Which look is this?, hope 14th Century.Ukweli hampendi(wachache wenyu, wengi wa jf) Tz kila mahali slumish, nchi haina 21st century look., maybe 15%., development is mere politics and PR., doesn't translate to the life of common man. Accept and change.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulisoma shule gani? Ngumbaru primary?ukumbuke wazungu walikuja kwenu kwanza kabla kuja huku.nadhani umeona 1950 nairobi ilikuaje semeni kenyata kawajengea hapo.Lakini yote yamepita na tunaganga yanayo kuja
This place......were you guys nuked by Russia or somethin?Wapi wale jirani walikuwa wametuchosha na picha ya pili? Are you happy now?View attachment 1303137View attachment 1303138
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Kaloleni sio Kenya?, Angalieni Nairobi ilivyo, hovyo kabisa ninyi, jiji kama porini, uchafu and very "disorganized city".Kisumu mjini!!wacha ujinga wewe, ichoboy kaleta picha za kaloleni...
Hzo nguzo ni za kitambo sana, pia km una macho ukiangalia vizuri utakuta guzo za zege kibao...so ni kiburi
Tumeacha kuagiza nguzo za miti km ulivyodai...hii ni karne nyingine, mambo hayo tumewaachia ldc
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni kupiga picha makazi ya watu maskini afu mnakuja kuponda huku jf ,mnafanya dhambi hata nao wanatamani kuishi vizuriKitu in the ground plz๐๐๐๐๐๐
View attachment 1302341View attachment 1302342View attachment 1302343View attachment 1302345View attachment 1302346View attachment 1302348View attachment 1302349View attachment 1302350View attachment 1302351View attachment 1302353View attachment 1302354View attachment 1302355View attachment 1302357View attachment 1302358View attachment 1302359View attachment 1302361View attachment 1302362View attachment 1302363View attachment 1302364View attachment 1302365
Hapa ni sehemu mbili tofauti, angalia upande wa kushoto kwa mbele juu, NYUMBA hazilingani, hata rangi ya hizi NYUMBA ni tofauti kati ya hizi picha mbili. Bado hiyo barabara haijatengebezwa, acha kutudanganya.Wapi wale jirani walikuwa wametuchosha na picha ya pili? Are you happy now?View attachment 1303137View attachment 1303138
Sent using Jamii Forums mobile app
Tzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.Ila jaman niseme tu kenya maisha ni magumu sijapata kuona ukiskia hard life in real aisee iko kenya, yani mpaka kunaskitisha duhh alaf internet ni very expensive duhh
alaf kitu nyingine hua napenda kuuliza nimeona some of rubbish old flyover maeneo ya nakuru na njia panda ya eldoret na kericho sasa hzo old fashion flyovers za nn wakat hakuna hata congestion ya magari kabisa mm hua nafkiri gvt of kenya imeteketeza pesa nyingi za taxpayers kwenye mambo amabayo hayana ulazima kwa sasa thats y even debt sahii ni kubwa sana
Kwhyo video za afrikan traveller zote za nairobi umeona hyo ya downtown pekeake...heheee!!kwel watanzania mnaumia sana kumbe...Kwahiyo Kaloleni sio Kenya?, Angalieni Nairobi ilivyo, hovyo kabisa ninyi, jiji kama porini, uchafu and very "disorganized city".
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mbona vijana wa ghetto waliotusua ni wengi tu...kw mfano octopizzo katoka kiberaTzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.
Huyo jamaa ni mkenya mwenzenu, amepitia sehemu muhimu za Nairobi, wacha kulialia, hiyo mitaa aliyopitia ndio mitaa muhimu sana kwa Nairobi City, hiyo ndiyo " active areas for middle income Nairobians", sasa wacha kulialia, hayo maeneo ni sawa na Posta na Kisutu hapa Dar.Kwhyo video za afrikan traveller zote za nairobi umeona hyo ya downtown pekeake...heheee!!kwel watanzania mnaumia sana kumbe...
Nikusaidie kupekua video za nairobi mjini na nje za huyo msee 2019..au wasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia down town ndio maeneo mhimu nairobi...eti active areas!!duh..Huyo jamaa ni mkenya mwenzenu, amepitia sehemu muhimu za Nairobi, wacha kulialia, hiyo mitaa aliyopitia ndio mitaa muhimu sana kwa Nairobi City, hiyo ndiyo " active areas for middle income Nairobians", sasa wacha kulialia, hayo maeneo ni sawa na Posta na Kisutu hapa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hiyo video unalialia, hii utafanyaje?Nani kakwambia down town ndio maeneo mhimu nairobi...eti active areas!!duh..
Huaga takwimu zako unatoaga wapi wewe jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tom Mboya na Mwaikibaki roads sio maeneo muhimu kwa Nairobi?, nitajie maeneo ya Nairobi down town ambayo ni zaidi ya hizo sehemu mbili hapo Nairobi kwa " level ya middle class areas.Nani kakwambia down town ndio maeneo mhimu nairobi...eti active areas!!duh..
Huaga takwimu zako unatoaga wapi wewe jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikieni huyu jaman๐๐๐๐๐Tzn ingewaruhusu wakenya kuingia na kumiliki ardhi wangeichangamsha sana bongo na watz coz wako aggressive kwenye utafutaji huu ni ukweli mchungu coz wako maskini sana ni vile kwao kumiliki ardhi na uje upate ni ngumu sana tofauti na tzn ndio maana ukizaliwa maskini huko kutoboa ni ishu na uhalifu lazima uwe juu ni kama arusha inakopi hali hiyo.
Nimempotezea! Maana ana ufalamanga! Nchi inalishwa na nchi zenye jangwa halafu anajisifu aggressiveness! Isitoshe amekula ubwabwa au pilau/ugali uliyopikwa na mchele/unga wa mahindi ya Tanzania akasukumizia na tunda toka Tanzania!Msikieni huyu jaman๐๐๐๐๐
Hahah na jana wamepokea msaada wa chakula kutoka USA๐๐๐๐๐Nimempotezea! Maana ana ufalamanga! Nchi inalishwa na nchi zenye jangwa halafu anajisifu aggressiveness!