Do you want me to definine for you the meaning of the word most ama?
Mbona mnalialia kama watoto wanaotaka kunyonya!! Lini nyie mlituma picha nzuri za Tz? Kama mnaweza na nyie njooni Tz mpige picha kadri mtakavyo jisikia. Kuna boya mwenzenu alikuja Dar akasema atatuma picha Ila alikosa sehemu mbaya hakutuma ata picha moja! Mtu aje kwa cost zake halafu mnampangia cha kufanya, Ichoboy endelea kuminya mapumbu yao, tutumie na uchafu wa stendi ya mabus hapo Kisumu.
Hizo picha za Kisumu anazopost Ichoboy01 hizo nguzo hapo Kisumu mjini zinazodondoka ni Zege?, au Kisumu sio Kenya?Hakuna nguzo za miti kenya jomba, walizipoteza kitambo ndio wakaanza kuweka za zege...
Kw wivu wako ukasema eti bado tunaagiza nguzo za miti tanzania[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi hiyooooooKutozoea ujenzi ni mbaya kweli. All of Tanzania imekuwa na planned building moja hatupumui, sasa ingekuwa nyinyi ndio mko Kenya ama Ethiopia penye most buildings is in excavation stage si mngeruka hadi binguni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sekei-Phillips,Arusha-Moshi highway adjacent to Mt Meru Hotel.Litajengwa wapi? Au jengo la posta pale down town litapigwa mtama
Sent using Jamii Forums mobile app
shida ya hizi nyumba ni squatters ,zingejengwa kwa plots zwe well organised ni nzuri sana but kwa jinsi zilivyojengwa hovyo zime loose hata thamani na uzuri wake100% better than these squolars aka dream houses
View attachment 1300732View attachment 1300734View attachment 1300732View attachment 1300734
Nonsense,lengo la huu mradi ni nini hasa? kama wana pesa kuna mengi ya kufanya yenye tija kwa jamii
Wacha hasira hata likijengwa haitakuwa Kenya therefore none of ur business!Nonsense,lengo la huu mradi ni nini hasa? kama wana pesa kuna mengi ya kufanya yenye tija kwa jamii
waambieni watoto bado hawana vyumba vya kutosha wamelundikana na wanakaa chini hakuna madawati lakini huduma za jamii hasa afya na maji bado ni changamoto kubwa sana
mwisho kama wana pesa nyingi basi wazilete serikalini ili serikali itekeleze lengo lake la kupanga matumizi sahihi ya ardhi kuanzia ngazi ya kijiji ili tuache kujenga hovyo hovyo nchi yote inakuwa slum tukumbuke population inakua sana
Wacha hasira hata likijengwa haitakuwa Kenya therefore none of ur business!
Better than their 'modern' esigiara stationsCommuter rail upgrade still under construction.View attachment 1303129View attachment 1303131
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!na hakuna siku utakuta mkenya akose kazi aende mahali matembezi aanze kujisumbua kwenda kupiga picha sehemu mbovu mbovu ndio aridhishe wajinga wenzie...neverMbona mnalialia kama watoto wanaotaka kunyonya!! Lini nyie mlituma picha nzuri za Tz? Kama mnaweza na nyie njooni Tz mpige picha kadri mtakavyo jisikia. Kuna boya mwenzenu alikuja Dar akasema atatuma picha Ila alikosa sehemu mbaya hakutuma ata picha moja! Mtu aje kwa cost zake halafu mnampangia cha kufanya, Ichoboy endelea kuminya mapumbu yao, tutumie na uchafu wa stendi ya mabus hapo Kisumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu mjini!!wacha ujinga wewe, ichoboy kaleta picha za kaloleni...Hizo picha za Kisumu anazopost Ichoboy01 hizo nguzo hapo Kisumu mjini zinazodondoka ni Zege?, au Kisumu sio Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubali umeenda ushagoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama sio kisumu county hzo pic za kaloleni ungezipata vp fala ww[emoji23][emoji23][emoji23]