Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi hilo ninalipinga kwa nguvu zote, Mkikuyu ni mkenya na alishatoa "Biography yake, alipozaliwa, aliposoma na Kazi alizofanya katika GoK, na sasa hivi anishi wapi na anafanya nini. Ilidhihirika wazi kwamba ni mkenya asilia, na anaipenda Kenya kuliko wakenya wengi hapa JF, tofauti yake ni kwamba, yeye yupo juu sana kwa akili na mtazamo kuliko ninyi mnaoburuzwa na ukabila na uvyama.

Kuhusu Makazi, huwezi kulinganisha kati ya jiji ambalo zaidi ya nusu ya wakazi wake wanaishi katika slums, na jiji ambalo karibu 85% ya wakazi wake wanaishi ktk NYUMBA bora. Hao wanaosema Nairobi ni bora kuliko Dar, wanazungumzia 30% ya wakazi wa Nairobi pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilimuuliza ataje jina la ward aliyotokea akakimbia mpka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na huyo kilaza. Don't you know the person you are dealing with? Kisumu hotel is not far from Central Bank of Kenya, Acacia hotel and West End mall, Prosperity House (the second tallest building in kisumu), Tuffoam Mall, University plaza and a host of other places. But he has deliberately chosen to overlook all those na kusema eti alikuwa "busy" while he had all the time to shot pictures in Kaloleni slum which by all standards look way better than their filthy dream houses
Mimi nimengoja anionyeshe uchafu Kisumu CBD. Kama alikua Kisumu hotel for real he must have seen this.
tapatalk_1577190498810.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkokoteni wa maji na nyumba za udongo zilee live ndani ya CBD....! 👆 😀 😀 😀

Ukipata nafasi pitia Kisumu port tumalize ubishi nimeli-miss gugu 😀 !
Kwa hivyo leo CBD ya Kisumu imehamishwa na kupekekwa Kaloleni! 😂 😂. Mko na shida sana Watanzania. Alafu afadhali sisi mkokoteni ndani ya estate. Vipi kuhusu hili? 👇 👇 🤔😀😀
gettyimages-487214599-612x612.jpg
gettyimages-487214603-2048x2048.jpg
 
Hapana Arusha ndo ilikuwa capital unless Ngosha kabadili! Hizi media zinaupotoshaji wa kijinga!


ichoboy01 Kuna lile pendekezo la bwana Kitwanga la kutaka uwanja wa ndege wa Mwanza kuitwa Serengeti sikulipenda nililiona la kibinafsi ukizingatiwa kuna wilaya inaitwa Serengeti na mkoa unaomiliki Serengeti kiuhalisia! Na pia wenyeji wa huko walishapinga!

 
Back
Top Bottom