babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,387
- 35,932
Hivi kweli na wewe unaweza choma mtu sindano πππ maajab,Naona tangu jana nakuchoma sindano kali kali sana...
Sio wewe huaga unaimba daily eti tu zoom, sasa kaleta kitu kw ground mmeanza kuweweseka...
Sent using Jamii Forums mobile app
It was free. Just a special request from the Kenyan consulate in Dubai. They''ve done it to Uganda and I guess Angola too on their independence day celebration. Nothing specialnot so fast...
A reason I said UAE acceptance to host Kenyan flag is unethical!
To a country recipient of this food donation
That's county government business. Very distinct from national government.Alaf mtu anasherekea kupoteza 6.9m ksh for 3 minutes watu hawajalipwa mishahara miezi miwili
Hamna kitu ApoKisii ingelikua tanzania mgeiita cityView attachment 1292203View attachment 1292204
Sent using Jamii Forums mobile app
It was free. Just a special request from the Kenyan consulate in Dubai. They''ve done it to Uganda and I guess Angola too on their independence day celebration. Nothing special
Kama kujidanganya inakupa raha then by all means do it. Ni haki yako.Kwani unadhani mwakani ndiyo tutawapita kimaendeleo hata sasa tumesha wapita ila mnaleta ubishi bure mwakani ndiyo mwanzo wa wakenya kukili wenyewe Kwa midomo yenu kuwa tz ni great country than you
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hawa hapa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1292126
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanza kupindisha nyoosha maelezo hapo ni sehemu ganiImekuingia hyo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali zote changa na you can't expect much. Serikali nyingi za Africa wamependa hype ili kuonyesha wananchi kuna jambo linaendelea. Dar miaka ishirini itakuwa mji wa kutamani sana infrastructure wise. Lakini naona wengi humu wamechoka kungoja ikabidi kupunguza muda to "mwakani" ilhali mambo bado jikoni. Hizo projects zinasimama kwa kuwa serikali iko constricted financialy. Imepeleka pesa kwa mambo ambayo yangefanywa na private businessesTrue bongo bado sana ni kelele tu za kujitutumua afu tunaona tumefanya vikuubwa.Afu hii tabia ya kuto focus projects chache na kuzikamilisha vizuri inasababisha kutokuwa na impacts kubwa kwa eneo,mfano unajenga tu flai ova 2 unahamia projects nyingine tofauti ile foleni inakua umehamishia sehemu but tungefocus kufanya overhaul kwenye area zote ingebadili mji kabisa badala ya kutapanya tapanya na kuruka ruka
Nina mifano mingi ya projects za hivyo zilizoishia njiani kama ulgsp na hii ya kujenga hospitali kila wilaya,vituo vya afya kila kata na dispensaries kila kijiji,Serikali ifanye kama REA ukiazimia jambo unamalizana nalo mazima
Vipi kuhusu hawa wahamiaji haramu kutoka kenya wanaohukumiwa daily huku,Lol......tanzanians are fleeing from poverty to more developed countries like Kenya or south Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajanja uwa wanatoa majibu sio kukimbia swali kama haujui nyamaza kimyaTumia tu kiswahili, tutakuelewa
Vipi kuhusu hawa wahamiaji haramu kutoka kenya wanaohukumiwa daily huku,
Kwa taarifa yako kwenye msamaha wa Rais juzi wafungwa wakenya watatu walipata msamaha pia.
Bla bla ndio nini hapa tulia hivo hivo
Ukiulizwa hii nyumba ya asili ya kiafrica kijijini ina tatizo lipi utajibu πππ au utazifananisha na zile za mabati full na flying toilets.