yule jamaa akija atakuambia bora pesa iende kwenye barabara zizunguke nchi nzima hadi vichakaniOfisi mpya ya mkuu wa wilaya kigamboni dar
View attachment 1290553View attachment 1290554View attachment 1290555


The real life outside kiberaView attachment 1291554
Sorry danganyikan. The first picture is a done deal
View attachment 1291473
You could not even see the irony in my statement
si kila kitu ukitakacho asa kilichopo kwako kifanuike kwa vile utakavyo....Wewe wa korido za ikulu ndio wajua hivyo ila sie wa huku grassroot hatuoni hiyo usemayo
Barabara ya km 300 utajenga km 30 kila mwaka utamaliza lini? si hadi Yesu arudi sasa
Sasa impacts za hizo projects kwenye uchumi wa nchi na mtu mmja mmja ni sawa na barabara au unajichekesha kwa sababu hulipii sauti na mdomo ni wako?
Afu usinilishe maneno sijasema hazina impacts yoyote ila nimesema hazina impacts kubwa ya kuchochea maendeleo ya mtu mmja mmja na taifa kama roads,hizi reli na ndege zimekuwepo miaka yote na zilijifia kinachobadilika hapa hasa reli ni speed tu..





chizi umerogwa tena
kama upo chunya pia kuna wenzio tupo tandaumba huku tunahitaji km kama hizo ....hebu kuwa mpole kila kitu kinaenda kwa hatua ,,,,,Chuki za nini mimi naelezea kilichopo tena kwa mujibu wa vyanzo vya serikali kama tanroads na Tarura ingia kwenye website zao utaona.Afu nimesha site baadhi ya barabara wewe unasema zinajengwa wakati sie tulio huku hatuoni,mfano kutoka chunya hadi Tabora kuna kilomita 500 serikali imempa kazi contractor kujenga km 40 sasa hiyo trunk road itaisha lini kwa mwendo huo? Serikali iweke nguvu zaidi kwenye barabara ndio zitatusaidia zaidi but kama unataka kubishana ushiinde endelea mwenyewe
Ukweli usemwe tu, kenya kuna unfinished buildings nyingi sana.