Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Issue ni ulete picha zinazoonekana kwa ground zikionesha slums za dar kama tunavoleta za kwenu Mfano wa slums ya kenya ambazo zinaonekana kwa ground ni [emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miradi yote iliyokamilika mlisema hv hv renders ata huo utakamilika na mtakaa kmy kuhusu hyo pcha ya kijijini ni kawaida Afrika nzima maisha ya vjjn ypo hvyo jpo nchi zngne km kenya hali ni mby zaidi kwa watu wanaoishi vjjn
Render za soko ndio mnajua kuchora....nchi ya hadithi.......hiyo pesa pia msaidie nayo wengi ya watanzania wanavyoishi hivi...maisha duni hatariView attachment 1290439View attachment 1290440

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe masikini wa bibra hiyo umepost ndiyo nini ? Ndiyo maana nawatahadharisha wakikuyu mwakani mwakani msije sema atukuwaambia mapema hata kwenye sekta ya afya usishangae hadi mwakani tukiwa no3 au 4 Africa yaani mambo ni fire hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo projects za barabara kuunganisha mikoa ..zote ziko under construction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…