Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now ur senators that the DPP is supposed to press charges against r free representing their clients in the judiciary!

Kenyan politics can make you sick. Best thing is to avoid following up. Its been a year since I sat down and watched news on T.V. I just read through the political news on weekends juu daily it's drama. I prefer following up on business news
 
Subiri mwakani slum boy ,project za Kenya ni sawa na matifari 2000 yaliyo tengenenezwa na mfuko mmoja wa cement na project project za tz ni sawa na matofari 2000 yaliyo tengenezwa na mifuko 100 ya cement tena siku ukijua hii logic ya uchumi
$1bil iliyopo tz inafanya kazi kubwa sawasawa na $3bil iliyopo Kenya ,Tena kibaya zaidi hata hiyo $3bil Kwa Kenya inafisadiwa na kufanya low quality things
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia pekee ya Kenya kuvuka salama uchaguzi wa 2022 ni kupsta MTU tapeli kuliko Uhuru atakaye fanikiwa kuwa danganya wakenya ili mumchague Kwa sababu mzimu wa magufuli utawasumbueni sana kufikia 2022 mark my word
Hadi 2022 kila mkenya atachukia wanasiasa na Yale makabila yasiyo ya Kikuyu yataona wakikuyu ndiyo sababu ya kuanguka Kwa Kenya sasa hapo moto utawaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakani mtaisoma namba tatizo wakenya mnategemea majengo ya watu binafsi na kudharau public things wakati sisi tunajenga jituo vya mabasi vya kisasa brt kuboresha usafiri wa anga na treni hivyo mgeni akitembelea tz inakuwa rahisi kunoti maendeleo na kuona upekee wa tz, nyinyi mnasubili mchina au mzungu ajenge gorofa, project za Kenya nyingi ni kuchezea hela tu tena nyingi ni mizigo Kwa uchumi wa Kenya hata project za Umeme mlizo nazo ni mzigo Kwa sababu ni zakifisadi sasa cheki sgr ya tz itstumia Umeme ambao ni Mali ya tz 100% na cheap mara 4 ya wasasa na kwenda hadi drc Rwanda burundi Kwa Umeme wetu ,pili tuna Fanya mikakati ya kutumia gesi kuendesha magari binafsi na brt ,3 tunampango wa kubadili reli ya tz na Zambia pamoja na reli zetu zote ili zitumie Umeme Mara bwawa letu likikamilika hiyo kuwa very cheap kiuendeshaji na kusababisha nchi zote zinazo zunguka tz kutumia bandari zetu na kuacha SA
Kwanza ona hii video ndio utajua kwanini mwakani si karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya has earned respect amongst nations. Our jealous useless neighbours are the only idiots in the world who wish us otherwise coz they can't reach our level [emoji1787]
You know your country is dope when the world's tallest building is wrapped in the colours of its flag[emoji1139][emoji1139]
#BurjKhalifa
#JamhuriDay
[emoji7][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unadhani mwakani ndiyo tutawapita kimaendeleo hata sasa tumesha wapita ila mnaleta ubishi bure mwakani ndiyo mwanzo wa wakenya kukili wenyewe Kwa midomo yenu kuwa tz ni great country than you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True bongo bado sana ni kelele tu za kujitutumua afu tunaona tumefanya vikuubwa.Afu hii tabia ya kuto focus projects chache na kuzikamilisha vizuri inasababisha kutokuwa na impacts kubwa kwa eneo,mfano unajenga tu flai ova 2 unahamia projects nyingine tofauti ile foleni inakua umehamishia sehemu but tungefocus kufanya overhaul kwenye area zote ingebadili mji kabisa badala ya kutapanya tapanya na kuruka ruka
Nina mifano mingi ya projects za hivyo zilizoishia njiani kama ulgsp na hii ya kujenga hospitali kila wilaya,vituo vya afya kila kata na dispensaries kila kijiji,Serikali ifanye kama REA ukiazimia jambo unamalizana nalo mazima
 
Dar na Mwanza/Lake zone imependelewa kwa sababu za kisiasa nadhani nimeeleweka but ni game changer yote ni Tzn,hapo Dom kuna mradi mkubwa zaidi wa kujenga dam ya DOWASA
Awamu ya pili baada ya uchaguzi serikali itupie jicho lake pia kanda ya Nyanda za juu kusini ,kaskazini na Western zone huku tumetelekezwa.Our biggest city mbeya iko jammed sana na traffic tunahitaji 4 lane kutoka mbeya hadi Tunduma na uyole mbalizi bypass bila kusahau airport ambayo huwa haikamiliki over 20 yrs now
Hatuna barabara za kuunganisha mkoa wa rukwa na kigoma,Kigoma na Tabora,Mbeya na Tabora wala Songea na Ifakara/morogoro.
Hizo pesa za kujenga daraja juu ya ziwa zilitosha kumaliza hizo projects za barabara nilizotaja hapo juu,serikali iangalie aina ya vipaombele vyake na impacts zake kwenye uchumi na siasa pia
 
JPM alishaongelea ushoroba wa magharibi alipokuwa Rukwa isitoshe baadhi ya sehemu ujenzi ushaanza! Na akasema nia ni kufungua njia kwa Uganda Rwanda name Burundi kufanya biashara na SADC! In return Uganda ijiandae kufungua njia kuelekea South Sudan na Ethiopia.


Suala la Songwe airport pia alilizungumzia Awamu ya nne iliweka mkandarasi tapeli kutoka Kenya runway inabanduliwa na kurudiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…