Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii thread imeelimisha sana watu hasa wakenya yale matusi waliokua wakiyatukana sasa yameisha wamebakia Kurusha ngumi za hewani🤣🤣🤣🤣
 
Kimsingi hizi dream houses zina nafuu zaidi kuliko za huko kibera,tatizo kubwa ni zinejengwa kwenye squatters na hili ni tatizo kubwa kwa Tzn inafaa ipime plots nchi nzima na kuwe na taight law enforcement kuzuia ujenzi holela
Lakini pia kwa Nai hususan kibera kuna ule mpango wa kuyabadili yale makazi ili kuondoa slums au kupunguza maana kiukweli binadamu kuishi vile inasikitisha sana
 
Tanzanians be like....mwakani...mikakati...tutapanga....lol
Wamezoea kuona watu wakipiga kelele Twitter wanaona kuna shida za ajab hapa. Nikama nchi itakuwa imesimama hiyo mwakani ama traffic itageuka overnight 😂 😂 😂
 
Sijui mumejionea tofaut au bado👇👇👇👇
Tanzania
View attachment 1289712





Kenya
View attachment 1289713
Rais anamkubali sana huyo mlinzi mrefu hapo mbele aliyejifungasha vilivyo maana kila kwenye ziara lazima yuko nae na bonge fulani hivi huwa huwa hashiki silaha yoyote visible
Nilikumbana nao hao jamaa live kwenye stage moja sie tulikuwa front kama wadau wa barabara mkulu alipokuja kuzindua wana ogofya kweli kweli ukiwaona live tena jirani wakiwa standbye
 
Sijui mumejionea tofaut au bado👇👇👇👇
Tanzania
View attachment 1289712





Kenya
View attachment 1289713
mbona kutembea na jeshi nikama uko war zone na ni nchi yako, kwanza urban area kwa umati mahali security iko dhabiti? risk ya terror pia iko chini sana Tz. Si kwa ubaya lakini JPM suffers from "mtu mkubwa syndrome." He seems insecure about his leadership. He has to remind everyone that he is the C.I.C
 
You finance infrastructure projects from internal revenues and strangle the private sector. We take loans, build infrastructure and boost the liquidity of the financial sector. The financial sector in return uses the profits to expand outside the country. More jobs for our young people and a stronger economy. Killing three birds with one stone (debt). Meanwhile you will jump on headlines thinking Kenya is falling.
 
Their license was cancelled. Shida yenu nikusoma tu headlines na kukimbia.
So operating without licence? Isn't this the same airline an aircraft tyre sprang out of a landing gear while on the runway n full of PAX!? 😀 😀 😀 🙄

images
 
mbona kutembea na jeshi nikama uko war zone na ni nchi yako, kwanza urban area kwa umati mahali security iko dhabiti? risk ya terror pia iko chini sana Tz. Si kwa ubaya lakini JPM suffers from "mtu mkubwa syndrome." He seems insecure about his leadership. He has to remind everyone that he is the C.I.C
Naona hujaelewa somo bado rudi itizame alaf uliza akili yako vzr🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom