Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Ooh my GOD
Tanzania is real deal
Ooh my GOD
Lol, I'm rich but I deliberately choose to be hereI'd need a better argument. Some individuals are paid to keep the forum active.
Kabishane na wavaa miwani ya mbao wenzako
WowLDC Tanzania.....the poorest nation on earthView attachment 1289443
Sent using Jamii Forums mobile app
I think video ya SGR construction update itatoka leo au kesho
Pale mkenya anapopewa za uso hili ndio jibu lake huwa, vumilia pia au uwe na adabu pamoja na nduguzoI'd need a better argument. Some individuals are paid to keep the forum active.
Kwa sababu huwa kila kitu mnafanya mashindano
Huogopi hata kujiita developed wakati unategemea chakula cha misaadaTo the most developed country in Eastern and central Africa View attachment 1289511
Sent using Jamii Forums mobile app
Huogopi hata kujiita developed wakati unategemea chakula cha misaada
Nilisoma mahali kuwa china haitaki na haipendi kuitwa developed country 😂😂😂 alafu eti kenya inayopokea mikopo na misaada ya chakula kutoka china wanajiita developed country tena bila aibu.Tena kwa audacity ya waarabu, msaada wa chakula ukafikishwa state house. Aibu tupu!
Happy Jamhuri dayTo the most developed country in Eastern and central Africa View attachment 1289511
Sent using Jamii Forums mobile app
There are only few developed countries in the world and Kenya has never said it is oneNilisoma mahali kuwa china haitaki na haipendi kuitwa developed country 😂😂😂 alafu eti kenya inayopokea mikopo na misaada ya chakula kutoka china wanajiita developed country tena bila aibu.
![]()
China refuses to give up ‘developing country’ status at WTO
Beijing calls differential treatment a ‘fundamental right’, says it will not cede to Trump’s demands on World Trade Organisation reform.www.scmp.com
kwa sababu wanataka deals, hatukuitishaTena kwa audacity ya waarabu, msaada wa chakula ukafikishwa state house. Aibu tupu!
aliyekuambia kuwa hapo mabibo au mbagala ni nani.....kuna video za nyimbo kibao tu za wasanii wa bongo wamechukua uswazi kacheki youtubeKwa hivyo leo Mbagala na Mabibo hazipo Dar?![]()
![]()
Masters in denial!