Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwisho tafuta mahindra tractors plant Kenya nauendee choo ukakojoe upuzi
wew umekalia ubishi wakishamba tu.....kwa jinsi wakenya mnavyopenda sifa za kijinga hakika wew ungeleta picha ......maana ndiyo zenu tena mngemuweka uhuru hapa akionekana akizindua iko kiwanda
ukiona kimya hata picha hautoi ujue hiyo kwenu ni story tu hamna kiwanda hicho
 
Aibu kubwa mnapata plant ya kwanza 2017 Kenya had it in 1970's that's why I don't need to argue with fools anymore
sio aibu sema aibu kwa africa nzima maana ndio kiwanda cha pili cha tractor baada ya south africa na nikiwanda cha kwanza chakuunda gari za fire africa......😀😀😀😀😀😀😀
 
kama unakataa we kataa lakini ndio nishakufunguliwa ukweli go east go west.....kazi kwako
Tuma link...nakurumia sana yani ungependa ikue kubwa but haiezekani....pole jooh...macampuni zote kubwa za kimataifa wakitaka kuwekeza east Africa wanakuja Kenya juu masomo yetu na hali ya kuwekeza ni friendly
 
hahaha siunaona sasa mawazo yalivo changa 😀😀😀😀😀
kampuni ya ursus tamco itazalisha tractors 3000 pamoja na vifaa vyote vya kilimo kwa mwaka ipo kibaha
kampuni ya equater suma jkt itazalisha tractors 3000 pamoja na vifaa vyote vya kilimo kwa mwaka pamoja na fire fighting trucks 100 kwa mwaka ( russian technology) kipo mlandizi pwani
 
Msee yetu ni kubwa Africa
Ikulu ya THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ina Confrence center bombaa na AIR STRIP. planes can land and take off

01.JPG
 
hahaha siunaona sasa mawazo yalivo changa 😀😀😀😀😀
kampuni ya ursus tamco itazalisha tractors 3000 pamoja na vifaa vyote vya kilimo kwa mwaka ipo kibaha
kampuni ya equater suma jkt itazalisha tractors 3000 pamoja na vifaa vyote vya kilimo kwa mwaka pamoja na fire fighting trucks 100 kwa mwaka ( russian technology) kipo mlandizi pwani
Nataka link ya kuonyesha ni kubwa east Africa... Bla bla sitaki(oh ni bra bra bra
 
Back
Top Bottom