Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

big up tanzania............kiwanda cha ursus tamco tractor 3000 kwa mwaka
kiwanda cha equator sumajkt tractor 3000 na magari ya fire 100 kwa mwaka.....
viwanda vya kipekee AFRICA
1495542244-DSC_0491.JPG
1495541511-DSC_0416.JPG
xDAhLn5MXgAAmR4J-750x375.jpg.pagespeed.ic.mkLd-sKkxp.jpg
1495540539-DSC_0388.JPG
1495541831-DSC_0471.JPG
 
unapoambiwa ikulu ya tanzania ni kubwa kuliko ya kenya achaga ubishi wa kijinga.....mzee wa iphone hiyo yote unayoiona ni ikulu na bado sehemu nyingine hatujakuonyesha na hayo majengo unayoyaona yameshikana ....hako kaikulu cha kenya ni kadogo mnoo...
3800a1235800529cbd5a9376be6b3ee8.jpg
Ikulu inakaa mosque??? Ikulu si lazma ikue kubwa ...but kupendeza ndio factor hapa..
 
Ikulu inakaa mosque??? Ikulu si lazma ikue kubwa ...but kupendeza ndio factor hapa..
ha haaa hvyo ndyo ikulu yapaswa kuwa .....na siyo yenu kama dispensary.......ikulu ya tz ni balaa ukiingia ndani full utalii.....cha kwanza...siyo hyo yenu imekaa kama banda
 
where is the plant????? na hio link inaonesha kua in deal to build ina maana bado hawajatekeleza na haipo..
wakat mwengine usiwe na ubishi wa asili my friend......grow up
Fuatilia sasa iyo ndio kazi yako uko idle...kuna FMD Nakuru google pia.....tractor zinaundwa sai
 
Mwisho tafuta mahindra tractors plant Kenya nauendee choo ukakojoe upuzi
😀😀😀😀😀😀 sasa mbona unalia, kama huna huna tu na soon mutaanza kuja kununua huku na tunatengeneza na vifaa vyote vya kilimo karibuni sana kenya karibuni africa kwa ujumla
na tumeanza kupata order nyingi toka africa mashariki na kati
 
😀😀😀😀😀😀 sasa mbona unalia, kama huna huna tu na soon mutaanza kuja kununua huku na tunatengeneza na vifaa vyote vya kilimo karibuni sana kenya karibuni africa kwa ujumla
Unaboo bana unasheherekea staff za kipuzi sana at a Uganda,Ethiopia ina plant ya tractor...Kenya ina plants za Toyota,Nissan,BMW,Benz,Volkswagen thika etc na ni za east Africa region.
KENYA
 
Back
Top Bottom