Hasira zako peleka Mwananyamala kwa kopa. Masaki si level moja hata na Lavington.Watu wanaoongea bullshit bila uhakika kama wewe ni washenzi tu. It is good that we get to shame you in public because an awful lot of people would agree with you.
Masaki sio level yako achana nayo kabisa bro wala usihangaike 😀😀😀😀Hasira zako peleka Mwananyamala kwa kopa. Masaki si level moja hata na Lavington.
Siargue na malaya kama weweHasira zako peleka Mwananyamala kwa kopa. Masaki si level moja hata na Lavington.
Those are way better than the dream houses of DarFinishing za flats zenu hazikovizur!!
Mwingine alipost barabara za ulaya akidai eti ni za Nairobi 😂😂😂Wakenya ni wajinga yaani lijamaa linaposti picha ya uwanja wa Barcelona linasema eti ni ile ugly kisirani stadium....!🤣🤣🤣..kuna lingine tena juzi tu hapa limeposti picha ya ulaya hukoo linakuja hapa linasema eti ni picha ya nairo-slums,yenyewe ni mijinga,inafikiri na sie ni wajinga ka wao
Ulishawahi ona hizi zikianguka ovyo kama hizo unfinished building zenu.Those are way better than the dream houses of Dar View attachment 1288634
Sector ya michezo nyinyi ni wapenzi watazamaji tu. Soma hapaKama kungekuwa akuna mshindi wa 1,2 na 3 wasingekuwa wanapewa zawadi Bx na ninyi leta boxer wenu aliyewahi kushinda gold kwenye olmpic
Wewe endelea kuishi ndani ya dream house. This just shows how low your standards are by calling those things dream housesUlishawahi ona hizi zikianguka ovyo kama hizo unfinished building zenu.
Afadhali kuishi kwenye dream house kuliko kuishi kwenye unfinished building ambazo zinaeza anguka any time.Wewe endelea kuishi ndani ya dream house. This just shows how low your standards are by calling those things dream houses
Hii standard sio ya vijengo vyenu vinavyowaua kila siku au kile kinyesi cha kiberaWewe endelea kuishi ndani ya dream house. This just shows how low your standards are by calling those things dream houses
How can I start engaging mtu kama wewe ambaye amekemazwa kiakili? Ukiwa hata uwezo wa kufikiria na kureason ndo hauna sasa ya kuniengage ndo utakuwa nayo? Kibera measures 2.5 square kilometres. Piga hesabu zako (if at all you have the brain to do so) then come back to meLeta ushahidi kwamba Nairobi has biggest number of middle class in east Africa hehehhe wakat kibera alone stands with 2.5m people 😀😀😀😀😀
Hoja itabaki palepaleThose are way better than the dream houses of Dar View attachment 1288634
Cha ajabu top countries zenye watu wanaoishi kwenye slums Kenya ipo namba 3 alafu Tanzania haipo 😂😂😂
Nairobi yenyewe huijui yet you make a lot of noise. Nairobi is cool most times of the year. Haina joto jingi kama hilo jiji lenu la dream housesDah yani wanaroho ngumu kuishi kwenye nyumba za mabati na jua lote hilo
Kwa uchafu uliopo nairobi, dar ingekua slum basi nairobi ingekua ni jalala. Maisha ya wanairobi ni kama mafunza ya chooni yaani hata nzi anaishi maisha mazuri kuliko wao
So unataka kujitetea kuwa mnajenga nyumba za mabati mpate joto sio?Nairobi yenyewe huijui yet you make a lot of noise. Nairobi is cool most times of the year. Haina joto jingi kama hilo jiji lenu la dream houses
Cha ajabu top countries zenye watu wanaoishi kwenye slums Kenya ipo namba 3 alafu Tanzania haipo [emoji23][emoji23][emoji23]