Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanaoongea bullshit bila uhakika kama wewe ni washenzi tu. It is good that we get to shame you in public because an awful lot of people would agree with you.
Hasira zako peleka Mwananyamala kwa kopa. Masaki si level moja hata na Lavington.
 
Wakenya ni wajinga yaani lijamaa linaposti picha ya uwanja wa Barcelona linasema eti ni ile ugly kisirani stadium....!🤣🤣🤣..kuna lingine tena juzi tu hapa limeposti picha ya ulaya hukoo linakuja hapa linasema eti ni picha ya nairo-slums,yenyewe ni mijinga,inafikiri na sie ni wajinga ka wao
 
Finishing za flats zenu hazikovizur!!
Those are way better than the dream houses of Dar
Screenshot_20191003-212551.png
 
Wakenya ni wajinga yaani lijamaa linaposti picha ya uwanja wa Barcelona linasema eti ni ile ugly kisirani stadium....!🤣🤣🤣..kuna lingine tena juzi tu hapa limeposti picha ya ulaya hukoo linakuja hapa linasema eti ni picha ya nairo-slums,yenyewe ni mijinga,inafikiri na sie ni wajinga ka wao
Mwingine alipost barabara za ulaya akidai eti ni za Nairobi 😂😂😂
 
Ulishawahi ona hizi zikianguka ovyo kama hizo unfinished building zenu.
Wewe endelea kuishi ndani ya dream house. This just shows how low your standards are by calling those things dream houses
 
Wewe endelea kuishi ndani ya dream house. This just shows how low your standards are by calling those things dream houses
Afadhali kuishi kwenye dream house kuliko kuishi kwenye unfinished building ambazo zinaeza anguka any time.
 
Leta ushahidi kwamba Nairobi has biggest number of middle class in east Africa hehehhe wakat kibera alone stands with 2.5m people 😀😀😀😀😀
How can I start engaging mtu kama wewe ambaye amekemazwa kiakili? Ukiwa hata uwezo wa kufikiria na kureason ndo hauna sasa ya kuniengage ndo utakuwa nayo? Kibera measures 2.5 square kilometres. Piga hesabu zako (if at all you have the brain to do so) then come back to me
 
Dah yani wanaroho ngumu kuishi kwenye nyumba za mabati na jua lote hilo
Nairobi yenyewe huijui yet you make a lot of noise. Nairobi is cool most times of the year. Haina joto jingi kama hilo jiji lenu la dream houses
 
Back
Top Bottom