Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes....i agree.who can oppose these high quality dreamhouses of dar slumView attachment 1288112
Bro, this place is Manzese ni sehem ya watu wa hali ya chini kabisa kwa Dar kwahiyo sijui unataka paweje....

Af kingine sehem kama hizo na Tandale, Mbagala, Tandika, Keko n.k huwa zipo ovyo lakini ndani yake kuna watu pia wa kipato cha kati where utakuta nyumba za maana katika hayo maeneo
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege wewe unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
That's Upanga at United Nations Road beside ni Al Muntazir Seminary
 
Watu wanaumia sana, hawataki kuona chochote kizuri kutoka Kenya, as their propaganda infested mindset is challenged by contradicting facts, kwa hivyo wanalazimisha maoni yao finyu kuhusu Kenya iwe ndio ukweli. I know several Tanzanians, wameona naendeleo kidogo wanadhani wamefika!., Visit Tz ujionee mwenyewe in comparison, Nairobi and Dar can't be mentioned in the same sentence, Dar bado sanaaa, a few high rises and undeniably beautiful bridges makes them to go gaga!, wengi ni wa bara wengine hawajatembea., what they have is internet and selected media reports, they think it is Kenya! Tz wengi ni Vilaza.
Estate cloud....southern bypass View attachment 1288200
 
Bro, this place is Manzese ni sehem ya watu wa hali ya chini kabisa kwa Dar kwahiyo sijui unataka paweje....

Af kingine sehem kama hizo na Tandale, Mbagala, Tandika, Keko n.k huwa zipo ovyo lakini ndani yake kuna watu pia wa kipato cha kati where utakuta nyumba za maana katika hayo maeneo
Huyo ni mwanamke mbona unamwita bro
 
Kumbe pia Dar kuna ma bweni (dormitories like houses)., we lead others follow! Hapa tulipita kitambo, Kisumu, Eldoret, Thika na pia Nakuru wanazo such like development! Outside Nairobi and Mombasa, Tanzania ndio kumekucha, good you guys mna amka vizuri., spread such a cross Tanzania tokeni Dar sasa, shida 90% can't afford ni za wahindi na a few middle-class (which is relatively low in Tanzania)
 
Definition ya watanzania ya high class suburb is totally different from Kenya, wao mtaa kama masaki ni creme de la creme ya Dar., hapa Nairobi hiyo ni level ya Harlingham or Kilimani.,na bado haifikii Kilimani., coz haven't seen pictures za Kilimani kwa internet., hiyo area u can't just take photos, th ones I see posted in the internet ni few selected areas.,

I love this debate imefanya nimewajua watanzania kimawazo. I know Tz economically and infrastructural. Mtu hanidanganyi humu.
hata ile ni masaki kijana wacha longolongo. Masaki yenyewe apartments kila mahali kama Kilimani au Hurlingham ndo mnalinganisha na Karen, Muthaiga, Runda, Kitusuru, Gigiri, Lower kabete and the rest!
 
Definition ya watanzania ya high class suburb is totally different from Kenya, wao mtaa kama masaki ni creme de la creme ya Dar., hapa Nairobi hiyo ni level ya Harlingham or Kilimani.,na bado haifikii Kilimani., coz haven't seen pictures za Kilimani kwa internet., hiyo area u can't just take photos, th ones I see posted in the internet ni few selected areas.,

I love this debate imefanya nimewajua watanzania kimawazo. I know Tz economically and infrastructural. Mtu hanidanganyi humu.
Jidanganye tu kijana
 
wakenya muache uchokoraa haya maisha mnayoishi ni uozo mtupu halafu mnakuja hapa na akili zenu finyu

NAIROBI CITY
images%20(3).jpeg
images%20(2).jpeg
images%20(1).jpeg
images.jpeg
download%20(1).jpeg
download.jpeg
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege wewe😂😂😂😂😂 unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
Hapana ndugu hii mbona ni Seaview pale karibu na Selander bridge Geza hebu iangalie vizuri tena
 
Back
Top Bottom