Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mzee ojwani hamna kipya hapo mmemaliza....mkitoka nnje ya hizo banda za njiwa same pozi....mtaishia kupost uozo tu wa maisha yenu halisi.....
Najua mnaumia sana kuona vile jiji lenu limenyongwa na dream houses kila kona. Pole sana, huku hatuna dream houses kaka
 
Geza status ya Dege Eco Village ikoje maana Magufuli naona kama ameivuruga kabisa na sijui kama inaendelea. The last time i checked hiyo nyumba walikuwa na mpango wa kuzipiga mnada
 
Geza status ya Dege Eco Village ikoje maana Magufuli naona kama ameivuruga kabisa na sijui kama inaendelea. The last time i checked hiyo nyumba walikuwa na mpango wa kuzipiga mnada
Kulikuwa na udanganyifu katika mikataba baina ya wabia wa NSSF na NSSF!

halafu anakuja mtu hapa anacompare banda za njiwa za nyayo na ngogi na area kama masaki wakenya ni uozo sana
Masaki kuna apartments kila mahali yet it's Dar's best estate and you are so proud if it. Watanzania levels zenu ziko chini sana. Masaki na hizo apartments zake tunaweza compare tu na Hurlingham, Kileleshwa au Kilimani
 
aliyekuambia kuwa masaki kila sehemu ni apartment ni nani.....?...

mbona unajidanganya sana mzee masakuu
 
tuna maeneo makubwa sana hauwezi kupiga rami kizembe kama ufikiriavyo hizo siyo estate za owner mmoja hapo kila mtu kajenga nyumba kwa wakati wake...acha ukunguni
laiti mngekuwa nyie hapo mngeshajaza mabanda ya mabati city nzima serikali yenu inajua fika kuwa wanajua fika kuwa asilimia kubwa ya wakenya hawawezi kumanage own houses ingewapa fursa huo mji ungekuwa zaidi ya takataka.....maana hapo tu ni uozo
You are talking about uozo yet jiji lenu limejaa uswazi that have been christened dream houses kila kona. What could be worse than that? Then you talking about wakenya wengi hawawezi kumanage own houses yet Nairobi has the biggest middle-class group in East Africa. What does that tell you? More Nairobians, and Kenyans by extension, have the ability to own houses than your fellows down there. Hizo apartments unaona Nairobi that you call banda za kuku coz of jealousy almost half of them are for sale na ni wakenya wanazinunua. Do your homework well kabla ya kutoa povu
 
Leta ushahidi kwamba Nairobi has biggest number of middle class in east Africa hehehhe wakat kibera alone stands with 2.5m people 😀😀😀😀😀
 
Yani hawa kuna maisha ukioneshwa unaeza toa machozihebu pata picha hii katika mambo najiuliza ni how binaadamu ana survive kwenye nyumba yote mabati how?

Dah yani wanaroho ngumu kuishi kwenye nyumba za mabati na jua lote hilo
 
Back
Top Bottom