Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja hizo sehemu
Mm hua nakuja na ushahidi sio porojo
Screenshot_20191211-003706_Chrome.jpg
 
Huelewi kinachoendelea, unaweza msaidia mwenzako pia....ama km hujaelewa muulize
vitu unavyoongea ni cheap sana mzee ni ishu normal yaani unacompete vitu visivyo na maana ambavyo vipo kila sehemu ..........ndiyo maana nakucheka tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwaakili yako unahisi nairobi ndiyo sehemu pekee yenye street view [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

f****ร— kisa hizo banda za njiwa same looking
 
Sifanyi kazi unayotaka ww kama unataka kujua na kufahamu picha zote nimekuekea mezani chagua alaf uliza ni wapi ujibiwe pimbi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyo jamaa ni kolo sana anahisi nairobi ndiyo sehemu pekee yenye street view nzuri nimecheka sana bro[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
[emoji28][emoji28][emoji28]usingempa neno lolote [ngemcheka tu
 
Lami nayo huko kwenu ni nadra
tuna maeneo makubwa sana hauwezi kupiga rami kizembe kama ufikiriavyo hizo siyo estate za owner mmoja hapo kila mtu kajenga nyumba kwa wakati wake...acha ukunguni
laiti mngekuwa nyie hapo mngeshajaza mabanda ya mabati city nzima serikali yenu inajua fika kuwa wanajua fika kuwa asilimia kubwa ya wakenya hawawezi kumanage own houses[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ingewapa fursa huo mji ungekuwa zaidi ya takataka.....maana hapo tu ni uozo
 
Back
Top Bottom