Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaleta kitu ambacho kipo kwenye mpango maana yake kwa sasa hiyo stadium haipo hapo kenya

Ngojea ukamilike ndo ulete picha ya hiyo stadium ikiwa imeshajengwaHatujazungumzia magari rudia upya kupost kinachohitajika

Kama nikikuona wa maana leta bus la gor mahia
Utamfukuza sasa hvi bro😀😀😀😀
 
Duh hv huu nao ni uwanja kweli mbona hata nyasi hazionekani naona udongo tu hapo kwenye pitch
Usipanic...[emoji116][emoji116][emoji116]
images.jpeg-8.jpeg
images.jpeg-9.jpeg
 
Unaleta kitu ambacho kipo kwenye mpango maana yake kwa sasa hiyo stadium haipo hapo kenya

Ngojea ukamilike ndo ulete picha ya hiyo stadium ikiwa imeshajengwaHatujazungumzia magari rudia upya kupost kinachohitajika

Kama nikikuona wa maana leta bus la gor mahia
Bwahahaa!!!mbna umekasirika k hvo..wazito fc hawatumii pesa ya babayako bana
 
Tafuta office ya team yoyote Kenya yenye jengo k kama hio ukipata nitag plz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gor mahia inamiaka 50 inamiliki hichi kidude[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1287362

Wakat hii team imeanza juzi iko mbeya View attachment 1287363
Na bado ki mpira wako vizuri, wakiipata simba wanaigaragaza vibaya sana[emoji23]
 
Na bado ki mpira wako vizuri, wakiipata simba wanaigaragaza vibaya sana[emoji23]
Embu tuambie ina mafanikio gani kwenye club bingwa Africa na ni timu ngapi za Kenya huwa zinashiriki club bingwa Africa 😂😂😂
Note, Sijakuuliza local game za Kenya Nimekuuliza club bingwa Africa.
 
Na bado ki mpira wako vizuri, wakiipata simba wanaigaragaza vibaya sana[emoji23]
Kimpira wawe sawa alaf wasiwe na maendeleo kabisa wanaenda nchi za watu wanalala airport😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom