Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The lit beast in the sky: UAP Nairobi
CwaPwkZWQAA_InE.jpg
CvJG4_IWEAAO0Lk.jpg
Cwb7RpfXcAAiiOh.jpg
 
Nairobi roads! cars are too many!! No matter how big the roads get!! Light Rail coming soon will be the solution
CRaqQxVUsAABprQ.jpg
CRar8xNUEAA4CrK.jpg
CRar9BOUsAA2krd.jpg
CRa-SYAVAAAwHD1.png
 
Hakuna haja ya matusi na wivu jameni. Hizi jiji ni zetu wa-afrika wa mashariki. Walakin Kama umeshazuru hizi nchi mbili utajua Nairobi iko mbele kuliko Dar. Hiyo ni ukweli. Hakuna haja ya aibu....Dar itakuja labda kupita Nairobi siku za usoni.

Kile Dar imepita Nairobi nayo ni undugu na kukosa ukabila. Pia chakula ni tamu Sana Dar. Asanteni
 
Hayo maoni yako wewe lakin ukweli wa mambo upo hadharani na adabu sasa imeshapatikana na huu ulikua mwanzo wa miaka 10 tu sasa kazi ndio imeanza bado mapema asbuhi...kaa mkao wakula
Na safarii hii mtafungua accounts kila kukicha na mutabadilisha majina Leo kesho
Asante kwa kuja
 
Back
Top Bottom