Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu niambie height yake basi..wewe c uko Tanzania
hata wewe mwenyewe uko tanzania lakini pia hujalipima hilo jengo...mahali unatoa hiyo data ya urefu ndio palepale mkenya anatoa.ile siku utatuletea picha yako ukiparaga ukuta wa jengo na meter rule ukipima urefu ndio tutamaliza huu ubishi
 
ledger plaza bongo
4e1a2346a6f86062cfd0edf69d368bc4.jpg
piscine-ledger-plaza-bahari-beach_302405_pgbighd.jpg
 
Amasterpiece is made.....
17662721_1353594134686439_4651061939294699520_n.jpg

source
__________________
Babylon antenna imerudi tena , naon kwa sasa mnajaribu kuficha antenna yake

Nilikuwa naka redio kangu kadogo sana ila kalikuwa na antenna ndefu yani Mara tatu ya redio yenyewe ndio maana nikilionaga ili jengo nacheka sana

Alafu ivi ukiwa na jengo lako la gorofa moja ukaweka antenna ndefu sana litakuwa kwenye list ya jengo refu ,nawaza tu
 
Skewed minds always spew trash......
 
ona tofauti ....isiropoke ushabiki ...white house ya Tz ina hadhi kuliko hyo yenu yakishamba
Acha Ushamba, Tanzania hawajui kujenga white house! This is the conventional statehouse architecture! Not inheriting a mosque to be a statehouse!!

Check out!
USA
Whitehouse.jpg

Uganda
ug4.jpg

South Africa
AAEAAQAAAAAAAAAAAAAAJDY2NDYyZDE5LWY4ZmQtNDEwZi04OTQwLWM1MzgzZTkzZmRlOA.jpg

Kenya
kenya-state-house.jpg
 
Attachments

  • STATEHSE-696x430.jpg
    STATEHSE-696x430.jpg
    20.5 KB · Views: 39
Back
Top Bottom