ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 73,422
- 136,834
Zoom hapo utuoneshe slum unafkiri mzungu kuweka satellite juu alikua mjinga hakuona slumππππππDar nayo sijui ni darfur ama....View attachment 1284928View attachment 1284929
Zoom hapo utuoneshe slum unafkiri mzungu kuweka satellite juu alikua mjinga hakuona slumππππππDar nayo sijui ni darfur ama....View attachment 1284928View attachment 1284929
Hebu nieleze nilifkiri unaniambia habari ya millionaires huku unemployment rate isiwe 40%πππππππUnaongea Kwa machungu kweli!! Hadi unarudiarudia maneno! π π π Dawa imekuingia ila pole
Uhahahhaa umepanic budaaπππππWacha kutuletea ukumbi wa mkutano wa sisiemu hapa ni kuiita Convention center. Unless the word convention center got a whole new meaning in Tanganyika
Ndio maana kila siku hua nakwambia wewe unafunza wachafu kichwani mwakoππππThat's not a convention center. That's CCM meeting room. If that thing is a convention center that what will we call KICC?
Tueleze hapa mmetokaje kwenye 72b muelekee 99 wakat kila mwaka rate ya uchumi wenu unashukaππππ au ndio yale mambo yenu ya jikoni kama kawaidaTanzania GDP was $47b in 2016.
Tanzania GDP is $62b in 2019 with 7% annual growth. Now Mr. Economist can you please explain this to us in the simplest terms possible
Aysee very interesting kwakwel..... kwa haya yanayofanyika lazima wazee wa GDP wawe na hof
1890 metre gauge ni nzuri kuliko 2019 SGR ya Kenya
Ndio maana kila siku hua nakwambia wewe unafunza wachafu kichwani mwakoView attachment 1285019
Hawez kurudi usiwe na waswasπππAkirudi nitag broo
Lets say Kenya grew 6% constantly from 2017-2019Tanzania GDP was $47b in 2016.
Tanzania GDP is $62b in 2019 with 7% annual growth. Now Mr. Economist can you please explain this to us in the simplest terms possible
Hao wamezoea kupigwa.Lets say Kenya grew 6% constantly from 2017-2019
And Tz grew constantly 7% from 2017-2019
Kenya 74bn usd in 2016
2017
74*0.6=4.4
74+4.4= 78.4bn usd
2018
78.4*0.6=4.7bn usd
78.4+4.7=83.1bn usd
2019
83.1bn usd
83.1*0.6=4.9bn usd
83.1+4.9=88bn usd
2020
88*0.6= 5.28bn usd
88+5.28=93.28bn usd ...haya hyo 99bn usd mmefikaje na hata 2020 bado hapo..
TAnzania...
2016 52bn usd
Lets say we grew 7% constantly
52*0.6=3.64bn usd
52+3.64=55.6 bn usd
2017 55.6bn usd
55.6Γ0.7=3.85bn usd
55+3.85= 59.45bn usd
2018 59.45
59.45*0.7=4.1
59+4.1=63bn usd
2019=63bn usd ..sasa hatukuwa na 7% const ..ndo maana tupo 62 hapo sasa nyie 99 inatoka wapi
Wakenya wanajificha Kwa kutumia shuka la upumbaavu hata hiyo $72bil ilikuwa feki wameshindwa kujenga sgr kufikisha Uganda Kwa Pesa ya ndani GDP ya Kenya ni $68bil tuTueleze hapa mmetokaje kwenye 72b muelekee 99 wakat kila mwaka rate ya uchumi wenu unashuka au ndio yale mambo yenu ya jikoni kama kawaida
Me huwa siamini hizi data zao za kwenye makaratasi, Kenya ukiondoka Nairobi au tuseme Central Kenya, huko kwingine ni kama jehanamuWakenya wanajificha Kwa kutumia shuka la upumbaavu hata hiyo $72bil ilikuwa feki wameshindwa kujenga sgr kufikisha Uganda Kwa Pesa ya ndani GDP ya Kenya ni $68bil tu
Nikama wanavyo sema Ghana imepita Tanzania kiuchumi wakati Ghana yote Kwa maendeleo nisawa sawa na dar + mwanza huwa nacheka sana hapo ndipo nadharau uchumi wa makaratasi
ujinga ni kupiga mdomo na hujui mbona SGR inajengwa vile inavyojengwa. Nenda karesearch kwanzaMwakani hiyooooo kunya Keisha habari yake
Wakenya wamejaribu mbele ya tz na kupata maumivu makubwa hivyo wakajaribu mbinu mpya ya kuikimbiza tz Kwa nyuma pia awakuweza !!!!
Walitangulia kuplan COW ikafa
wakatangulia kujenga sgr sisi tukaja na yaumeme walipo ona hivyo wakaanza kutukimbiza Kwa nyuma wakasema wataelectrify SGR kelele za kujisifu kuwa wataweka Umeme kama yetu zikawa nyingi wakisema wataweza sisi tuliwaambia Kenya haina uwezo huo wakatuita bongolala hadi Leo wamekubari kuwa wameshindwa kutufukuza Kwa nyuma kwa sgr ya Umeme ,Pia wakatangulia kwenye flyover sisi tukaja Kwa nyuma wakatucheka sana kumbe flyover zetu zinazingatia SGR system wakabaki na maumivu wafanyeje wavunje flyover ili wajenge upya zenye kuzingatia brt wakagundua tumewashinda wakaanza kutukimbiza Kwa nyuma kujenga mfumo wa brt hadi Leo wameshindwa .kilicho baki ni kuanzisha comedy inaitwa BBI
MWAKANI NDIYO ITAKUWA VYUNJA KAZI TUTAIPIGA KENYA "KO" Wakenya wote watachanganyikiwa na kuanza kunyosheana vidole vya macho wao Kwa wao
Lets say Kenya grew 6% constantly from 2017-2019
And Tz grew constantly 7% from 2017-2019
Kenya 74bn usd in 2016
2017
74*0.6=4.4
74+4.4= 78.4bn usd
2018
78.4*0.6=4.7bn usd
78.4+4.7=83.1bn usd
2019
83.1bn usd
83.1*0.6=4.9bn usd
83.1+4.9=88bn usd
2020
88*0.6= 5.28bn usd
88+5.28=93.28bn usd ...haya hyo 99bn usd mmefikaje na hata 2020 bado hapo..
TAnzania...
2016 52bn usd
Lets say we grew 7% constantly
52*0.6=3.64bn usd
52+3.64=55.6 bn usd
2017 55.6bn usd
55.6Γ0.7=3.85bn usd
55+3.85= 59.45bn usd
2018 59.45
59.45*0.7=4.1
59+4.1=63bn usd
2019=63bn usd ..sasa hatukuwa na 7% const ..ndo maana tupo 62 hapo sasa nyie 99 inatoka wapi
Hii ikija hapo Tz it's your second largest town. Mtabishana tu lakini ni ukweliHaka kamji kenu hakana kitu zaidi ya hivi vitofali mlivyopanga hapa barabarani.
Play the video, wacha kupayuka tu. Hatuchezi na render hapaThanks for renderππππ