Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Points
2,000

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 2,000
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 

lwiva

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Messages
3,470
Points
2,000

lwiva

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2015
3,470 2,000
Heheee!!eti ultra modern healthcare...
Mbna vichekesho hv jamani...

Zaidi zile hospitali zenu sijui sita kubwa, kwngine kwote hamna vifaa jomba...
Bora hata ungeponda uwanja wa ndege na kujititimua kuwa wakwenu ni mzuri ningekuona mpuuzii ila kwenye maswala ya hospital Tanzania hipo juu sana Mara 8 ya Kenya yaani usithubutu kubisha ,kwenye sekta ya sfya Tanzania tunaelekea kuipita south Africa very soon
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
21,405
Points
2,000

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
21,405 2,000

The best 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2019
Messages
418
Points
1,000

The best 007

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2019
418 1,000
Kama umenotice kitu moja muhimu, Wakenya huwa mnaanza sisi tunamaliza,
Don’t worry I will make it easier for you,

Mlijenga terminal 1A, 1960’s
We made a better Terminal 2,

You stressed yourself to Terminal 2,
And we did a Terminal 3, (Funiko Bovu sasa mnahaha nchi nzima ya Kunyaland)
Sasa mnahangaika kusaka misaada kujenga Greenfield, tutawafunika na Terminal4 2030 mtabaki vinywa wazi,

You approached the Chinese to build the sgr, and they fucked you sideways,
We are coming with the SGR, sophisticated 160km/hr, without Chinese debt,

You tried something on elevations in Nairobi that you call flyovers and Interchanges,
We are making it better than ever done in Kenya,

You tried the White Elephant Lamu Port,
We are playing around with the Chinese And Saudi, We are the ultimate control of the Game, We are doubling Dar port capacity, without publicity.

You tried some towers, Like KICC, We finished with Multiple towers that you hardly struggled to-date,
In 2022 we’ll come with 20 towers affordable apartments 40floors towers, (with internal funds) sijui hapo mtaita wachina tena ama wahindi to serve your asses,

Huu mchezo mwishowe tutaona ataeishiwa pumzi
Tz Got unlimited potentials, a reason I love my country.
Hii inaytwa game is over
 

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
6,501
Points
2,000

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
6,501 2,000
Bora hata ungeponda uwanja wa ndege na kujititimua kuwa wakwenu ni mzuri ningekuona mpuuzii ila kwenye maswala ya hospital Tanzania hipo juu sana Mara 8 ya Kenya yaani usithubutu kubisha ,kwenye sekta ya sfya Tanzania tunaelekea kuipita south Africa very soon
Endeleeni kujenga migofu,
Hospitali za kenya za county zina ct scan zote
 

Forum statistics

Threads 1,365,411
Members 521,202
Posts 33,345,669
Top