Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahahhaha yani muna ujinga sana nyie bado njaa inawakamua alaf munajifanya wababeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio nawaambia mnapayuka tu ila hamjui mnacho kisema. They're only importing to cushion against crazy price hikes.
 
Juu ya Kenya ni less than a $1 billion? nyie mlifaidika na vitukio vya Al Shabaab Kenya na mambo ya elections, si kwamba mko na strategy. Hakuna ubunifu Tz. It's just copy pasting from your neighbor. Imagine despite the instability we are still running the region, tourism is over $1.5 billion just $500 less than Tz. Ni aibu nche yenye haijawai kuwa na civil war na kujisifia kuwa haina corruption kubishana na Kenya. Ni aibu tena zaidi nchi yenye mineral resources kwa wingi kuwa maskini bado
LOL Tanzania tourism industry ni $2.6B this year

Na Tanzania pia ni top 10 largest economy in Africa

Alshabaab na elections sio excuse, ukweli ni kwamba Kenya haijawahi wala haitowahi kuja kuipita Tanzania kwenye tourism, ni Bora mshindane na your peers kwenye hiyo industry lakini sio tanzania
 
Kenya GDP-$74bn
54-74 = 20
The GDP of the entire kenya minus Nairobi is 20bn
73% of Kenya Economy is in Nairobi,
Failed Banana Republic.
Failed banana republic you say? Nakuru town, 4th largest town in Kenya in terms of population and economic activities. Please show us your 4th largest town our rich neighbors

Nakuru.jpg
 
Back
Top Bottom