babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Hahaha huwa napenda sana kubishana na mtu aliyepanic 😂😂😂Juu ya Kenya ni less than a $1 billion? nyie mlifaidika na vitukio vya Al Shabaab Kenya na mambo ya elections, si kwamba mko na strategy. Hakuna ubunifu Tz. It's just copy pasting from your neighbor. Imagine despite the instability we are still running the region, tourism is over $1.5 billion just $500 less than Tz. Ni aibu nche yenye haijawai kuwa na civil war na kujisifia kuwa haina corruption kubishana na Kenya. Ni aibu tena zaidi nchi yenye mineral resources kwa wingi kuwa maskini bado
Kenya mko na nini cha maana kama bado enzi hizi bado mnapewa misaada ya chakula,
Uchumi feki
Mashamba yanayomilikiwa na wazungu 😂😂😂
Ukabila,
Corruption,
Alafu hivi unajua Tanzania kuna masikini asilimia ngapi 😂😂😂
