Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achana na huyo kilaza wa bongo. Anakubali kwamba Dar kuna mito and at the same time anakataa eti hizo mito hazina mamba. Kwani mama siku hizo wanaishi ndani ya visima?
We dogo inaonekana hata shule hukuenda katu
Dar es salaam ina maji ya chumvi kiasili,tangu lini mamba akakaa katika maji ya chumvi..Dar yote huwezi kumkuta mamba,labda kuanzia mikoa ya iringa na kuendelea huko,usijidhalilishe Mr.natural calamities
 

Leo mungiki ndo inatambua kuwa floods ni natural calamities👆👆👆👆👆

Hata sisi watanzania tulijitahidi sana kuwaelimisha hili suala,naona somo limeingia vizuri kabisa
 
Hebu nidanganye mm kuna jengo gani hapo lipo Mombasa sasa hvi hapa halipo[emoji3][emoji3][emoji3] hapo mpaka English point marina naiona na imefunguliwa mwaka uliopitaView attachment 1282134
Hii ndio picha uliyoileta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utateseka sana na old town jomba...km hujui old town iko opposite na english point
 
aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...

na kaa ukijua sehemu ambayo hujaa maji ni hapo tu kwenye mto msimbazi na hiyo yote kwa sababu ya mto na maji yenyewe hujaa katikati tu ya huo mto.......
Mto msimbazi siku hz upo cbd...sasawa
 
Labda uniambie we ubaya wa hzo pic tena ni magorofa yaliopangika vzr sana hehe wewe tatizo laki unahangaika bure tu na nishakwambia punguza mihemko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Km huoni matatizo hapo basi utakua ubongo wako una matatizo[emoji23][emoji23]
 
Hii ndio picha uliyoileta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utateseka sana na old town jomba...km hujui old town iko opposite na english point
Naona umedandia train kwa mbele unategemea nn😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…