LOL wameona Tanzania imefanikiwa kwenye hili la kudai mikopo ya wanafunzi na wenyewe wameiga ila with wrong approachHii huitwa copy and paste
Waache vijana watumie mitambo bana...Inatisha kwa kweli [emoji51][emoji51][emoji51]
Inasikitisha hadi huruma, serikali yenu ifanye namna hapo amani na utulivu irudi,Waache vijana watumie mitambo bana...
Yani pesa za kununua bunduki na risasi wanazo lkn za kujinunulia vyakula hawana..
Sijui hawa jamaa huaga wanawazaga nn katika haya maisha..mtu anaweza kupiga risasi kw ajili ya mifugo
Inatisha kwa kweli 😬😬😬
Best of corruption and tribalism😆😆😆Kenya is best