ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861


Wamesema wanakuja kuajiri watanzaniaGo unemployment
Ahahahha poleni sana safari mutauza mpaka makende kulipa madeni😆😆😆😆Wamesema wanakuja kuajiri watanzania
Nani kalazmishwa kubeba mzigo???Leta na wale wanaolazimishwa kubeba mizigo![]()
Chris Kirubi alitoa wap pesa?TWO RIVERS MALL,THE GIANT MALL OF EAST AFRICA
Mwizi ni mmoja wa wanaofaidika na kinachoendelea KQ!Chris Kirubi alitoa wap pesa?
Bwahahaa!!silverstone ni private company, huaga unapenda sana kuotaAhahahha poleni sana safari mutauza mpaka makende kulipa madeni![]()
Heheeee!!siku hz unaleta vitu hku hata bila kuvielewa vinasemajeNani kalazmishwa kubeba mzigo???
Kule walikotoa wale wahindi wenuChris Kirubi alitoa wap pesa?
Noma sana broMwizi ni mmoja wa wanaofaidika na kinachoendelea KQ!