Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Huezi linganisha mji wa Nairobi na kacity flani ambayo inafanana MombasaMzidi kulinganisha lakini reality is bado mko mbali saaana. Mine is to remind you things that you try to forget with silly questions and commets. Dar mji mzuri na iko na view fiti sana with something to admire especially kwa public transport, lakini kwa wealth and infrastructure bado. Jaribuni Mombasa kaka zetu.
View attachment 1265027View attachment 1265031
View attachment 1265035
View attachment 1265037View attachment 1265039
Na bado crane ziko juu
View attachment 1265040
View attachment 1265046
View attachment 1265045
View attachment 1265047
A new city coming up in Two Rivers,
View attachment 1265041
New developments behind Garden City coming up.
View attachment 1265034
Toto limekuja kama ilivyo tabiriwa kwenye render, Crdb mpo makini 👏Bado mnafurahiswa na jengo la 7 floors[emoji44][emoji44]
Ebhn hii itakuwa kiboko aysee itaitwa mwana ukome
Utafikiri ni wodi za wagonjwa ktk hospt ya rufaa ya......... 😁😁😁
Oy ulikimbia hesabu nini?So
Dar vs nairobi + mombasa
Hivi wewe Nugu unajua Dar CBD ni kubwa mara 4 ya Nairobi CBDHuezi linganisha mji wa Nairobi na kacity flani ambayo inafanana Mombasa
Dar haina cbd.Hivi wewe Nugu unajua Dar CBD ni kubwa mara 4 ya Nairobi CBD
Acha tuwaamshe nakweli kazi itakuwepo sema ukabila ndo unawakwamisha unaezakuta kiongozi mkora ila kwa sababu ni wakabila lenu unajikuta tu umempa kura yako maana una hofu na upande wa pili utawatupa kabisa kwny kuwatetea mnaona bora mpate kiongozi mwenye nguvu anayetokea upande wenu hata kama ni mlafi!!! Potelea mbali!!!! Tumshukuru sana Baba wa Taifa kwa kutuepushilia hili maana ni janga.Mwakani siyo mbali msije sema watz atukuwaambieni mapema miradi yetu 3000 itakuwa imdkamilika kati ya elfu3600 kazi itakuwa kuzindua tu na hela kuelekezwa kwenye miradi mipya
Sijui kama Kenya mtapita salama kwenye uchaguzi wenu 2022 maana mtakuwa na uchungu na viongozi wenu sababu ya maendeleo ya tz
ni kweli kaka sikuwa nimekuelewa ilaalishajibiwa tayari na Mkuu mwingine my bad.Mwezako anauliza inajengwa eneo gani
Ahahahhaha leta ushahidi kua ni 30 nafunga account jamii forum😆😆😆😆😆Utalia hadi ukufe. CBK is 30 floor building.
Nilitaka ku ignore lakini I'd be doing some injustice to this world if I let this ignorance unchecked. Nairobi is not a city designed for leisure but business. Leisure in Nairobi ni mostly indoors na usiku kama clubs. Ukitaka leisure, nenda Mombasa. It's only recently that I've started seeing Nairobians embracing outdoor activities. Kwanza they rarely do outdoors kama swimming etc coz of the cold weather. Our challenges demand different approaches kama hizi
The world renowned Magic Planet at two rivers.
One of the many funscapes shops in Nairobi
The Hub has several indoor theme parks

Nilikuletea picha ucount the number of floors ukashindwaAhahahhaha leta ushahidi kua ni 30 nafunga account jamii forum😆😆😆😆😆
Hebu count wewe moja baada ya moja 😆😆😆😆😆 maana hua unafanya watu wajinga sana humuNilikuletea picha ucount the number of floors ukashindwa
Hamna bhnaOy ulikimbia hesabu nini?
Dar vs Nairobi + Nairobi metropoli + Mombasa - slum