Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar tumewaambia ipambane na Mombasa. They're both economically na geographically similar. Dar ni district moja ndogo sana ya Nairobi. Hizo gorofa nne ndizo zimewapatia hadhi kidogo lakini bado nyie na Mombasa hamjaachana.
Niletee wet n wild ya nairobi ukipata nitag😃😃😃😃
Narudia kukumbusha kua wet n wild ya dar ndio the largest water theme park with slides in east and central africa

Niletee wet n wild ya nairobi ukipata nitag[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Narudia kukumbusha kua wet n wild ya dar ndio the largest water theme park with slides in east and central africa

[emoji1241][emoji1241]Subiri walete pond liliojaa mbu kutoka Uhuru Park
 
Niletee wet n wild ya nairobi ukipata nitag😃😃😃😃
Narudia kukumbusha kua wet n wild ya dar ndio the largest water theme park with slides in east and central africa

wajua ujinga ni kulinganisha miji miwili yenye haina anything similar. Hizo slides na maji naona kwenye malls zote hapa. Nairobi huku tuna mambo mengine kama ice skatting, bowling, go karting etc. Checkout Kenya's first ice hockey team at the Panari, Nairobi

panari1.jpg

panari2.jpg
 
Tukianza hoteli za Nairobi mtaanza kulia hazina view ya beach. Lakini hapo my fiend bado. Mimi naona tukulipie fare utembee Nairobi utoe ignorance
Kwa hoteli gani ukifkiri dar hakuna hotel kwanza niletee expensive luxury club kama hii kenya nzima ukipata nitag😀😀👇👇👇👇
Usije niletea zile uchafu za F2 au canivor
EDF10DED-0072-4715-882A-9DDEFDACD2A7.jpeg
E7A0BD1F-3898-4B70-9134-65E1AA5C44AD.jpeg
376E875C-62EC-4B9C-A28F-C95922E9EE90.jpeg
A0E0470B-A641-43A5-AC2C-C3144BFA9E75.jpeg
26BBFDFD-F737-415E-8C5D-F54342E4F388.jpeg
A672E9AE-BBFE-4548-975A-26238AC1AC9E.jpeg
9E822610-A503-4E48-AEAA-C9F36A46FEBD.jpeg
B59733E6-5395-493B-8A47-657F465A9D3E.jpeg
254DE64E-49CC-4B28-A8B6-1A14087E39A2.jpeg
0D802129-80AF-4190-A718-0B80FEFB4D38.jpeg
8C16A510-4A62-4D98-A4B7-9E4AA93A3F3C.jpeg
C62777F5-CC1B-41E9-8396-D125B88327A8.jpeg
6C69E70F-AD6B-4C5F-BB06-6CAF4CD9A4FC.jpeg
BF2B65E4-B9A7-4791-871D-D7EC442F3370.jpeg

7767E340-6780-48C6-A2F0-78AC4546D518.jpeg
 
wajua ujinga ni kulinganisha miji miwili yenye haina anything similar. Hizo slides na maji naona kwenye malls zote hapa. Nairobi huku tuna mambo mengine kama ice skatting, bowling, go karting etc. Checkout Kenya's first ice hockey team at the Panari, Nairobi

View attachment 1265012
View attachment 1265013
Fun sport quality center dar
39C65AB8-0C69-455C-AAF4-085501EEA474.jpeg
EF2DA198-3FCD-4B16-9DDD-03514F5062F8.jpeg
36ED71D4-39AD-4822-B002-0C51A12FA05F.jpeg
 
wajua ujinga ni kulinganisha miji miwili yenye haina anything similar. Hizo slides na maji naona kwenye malls zote hapa. Nairobi huku tuna mambo mengine kama ice skatting, bowling, go karting etc. Checkout Kenya's first ice hockey team at the Panari, Nairobi

View attachment 1265012
View attachment 1265013
This is the funniest shit ever. Mjinga ni wewe mwenyewe na hao kondoo wako. Unadhani bowling na ice skating venues Dar es salaam hakuna? Jamani, bowling? au hizi kwenu ni vitu vipya sana?
Pale quality center kuna ice skating rink nimeshaenda.
1573984061534.png
 
Lol, hii imekaa kama Lux nightclub kwenye Lucifer kwa wale ambao wameshaangalia hiyo drama series.
 
Mzidi kulinganisha lakini reality is bado mko mbali saaana. Mine is to remind you things that you try to forget with silly questions and commets. Dar mji mzuri na iko na view fiti sana with something to admire especially kwa public transport, lakini kwa wealth and infrastructure bado. Jaribuni Mombasa kaka zetu.

promenade1.jpg
promenade2.jpg

le mac.jpg

upper1.jpg
upper3.jpg

Na bado crane ziko juu

upper.jpg

skyscrappercity Nairobi metro thread.jpg

prism.jpg

fcb mihrab back.jpg

A new city coming up in Two Rivers,

tw rivers.jpg

New developments behind Garden City coming up.

garden city.jpg
 
So sliding na water theme park mpaka uwe na ocean ???😆😆😆😆😆
una upuzi, sasa Theme park ni nini? very petty argument. Kitu haiezi garimu hata $2M unauliza hapa kama iko Nairobi? kama uko curious enda pale Google just search theme park Nairobi and you'll be surprised. Pelekeni huo ujinga huko Mombasa
 
Mzidi kulinganisha lakini reality is bado mko mbali saaana. Mine is to remind you things that you try to forget with silly questions and commets. Dar mji mzuri na iko na view fiti sana with something to admire especially kwa public transport, lakini kwa wealth and infrastructure bado. Jaribuni Mombasa kaka zetu.

View attachment 1265027View attachment 1265031
View attachment 1265035
View attachment 1265037View attachment 1265039

Na bado crane ziko juu

View attachment 1265040

View attachment 1265046

View attachment 1265045

View attachment 1265047

A new city coming up in Two Rivers,

View attachment 1265041

New developments behind Garden City coming up.

View attachment 1265034
Sikiliza Dexter Morgan, Hatulinganishi, tunashow off.
EBgTIAgWwAATVxS.jpg
6A76D227-0FCF-4476-A9A0-43F9C5F8333A.jpeg
D9zUNmDX4AAvJUq.jpg
Tanzania_National_Main_Stadium_Aerial.jpg

1573985631138.png

Halafu hiyo two rivers itakuwa kama child's play huyu mdudu akikamilika pale ubungo, yaani hapatatosha humu
1573985994380.png
 
Nbo inazidi Dar miti tu na ubaridi
Najua ni uchungu kuona Nairobi playing in the league of big boys despite Kenya lacking the natural resources, having a smaller ocean front and fewer landlocked neighbors that Tz has. It's a bitter pill to swallow but itabidi mzoee tu. Leteni picha za Kibra kwa wingi na corruption lakini reality won't change 😂 😂. Natumai likes na comments kutoka wenzako wa 255 zitakuridhisha. Enjoy your Sunday.
 
Back
Top Bottom