Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Yani hawa watu unaeza sema hawana serekali

Walianza kujitamba humu ati unga ni bei rahisi kumbe ni kitu kimeharibika kinauzwa bei chee!
 
Ndio ukome kufananisha hayo maeneo mazuri na slums zenu
Of course ni mazuri tu kwa mtazamo wa mtanzania kama wewe. Our standards are not and will never be the same. That's why you call those aqualors that cover three-quarters of your city dream houses.
 
Kibera ina watu 2.5million
Makuru kayaba ina watu 700k
Mathare 500k

hzo ni tatu bado ziko zaidi ya 40πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†View attachment 1260359
Umeona vile wadanganyika wenzako wasiokuwa na uwezo wa kufikiria wanavokushangilia hapo chini na kunipigia makofi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ And these are the same Tanzanians who want to overtake kenya soon πŸ˜‚ πŸ˜‚
With this kind of reasoning?????
 
Ukiniletea ushahidi wa google earth tanzania kuna slum nafunga account jamii forum trust meπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Of course ni mazuri tu kwa mtazamo wa mtanzania kama wewe. Our standards are not and will never be the same. That's why you call those aqualors that cover three-quarters of your city dream houses.
Standard zenu ni nyumba za mabati na kukaa kwenye slums.
 
Watasema tunawaoneaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Wapi GDP iko ICU inapumulia mipira ya mikojoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Watasema tunawaoneaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Wapi GDP iko ICU inapumulia mipira ya mikojoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mwezi wa pili nilikuwa Nairobi maeneo ya US embassy ambapo sio mbali sana na UN grounds. Sasa niko kwenye gari na rafiki yangu hivi namuona huyu mdada amesimama na bango kama hilo barabarani narudi masaa kama manne baadae namuona masikini wa Mungu kasimama hapo hapo yaani hadi nilimuonea huruma. Kazi kenya ni za mtoto wa bamdogo au mjomba, au rushwa ya mapenzi au utoe pesa kupata kazi vinginevyo utapata taabu sana. Halafu wanakuja humu oh middle income, si wenyewe middle income lakini sijawahi kuona Dar es salaam katika pitapita zangu au hata Mwanza, Moshi au Arusha kitu kama hiki na si kwamba watanzania wana pride sana kufanya kitu kama hiki, ni kwamba kwenye swala la kujiajiri kwa wale watu wasiopata kazi tupo mbele.
 
Kibera ina mabanda 250,000 ambayo yana accommodate dwellers 2.5 million.

Umeolewa sasa? Au Hujaelewa bado?
Ungesema 5,000,000 people. Mbona 2.5 ni kidogo sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yani hawa watu ukiwaskiza unaeza kudhani wako europe kumbe utumbo wa bataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…