The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Let us reign them
Let us reign them
KQ tupo busy kuwapeleka watu New York 😂😂😂Vipi KQ imefanikiwa kumrudisha Fundi wake South Africa.,maana hili nalo lina tia soni
Lazima nikasirike Ni uchungu ulioje wakulima kukosa mapato Yao hata baada ya kuyauza mazao Yao ya Korosho. Unachekea wakati wakulima wa Mtwara wanalia?Umekasirika tayari😂😂😂😂😂
Lazima nikasirike Ni uchungu ulioje wakulima kukosa mapato Yao hata baada ya kuyauza mazao Yao ya Korosho. Unachekea wakati wakulima wa Mtwara wanalia?
Unateseka sana.Unitag wakulima wakisema wamelipwa.
Hujapata mpishi mzuri tuu, niwatamu sana, hao dagaa wa baharini (kauzu) ndiyo wabaya.Wale dagaa wakigoma warefuwarefu kama vidole hawajawahi nivutia,heri nikule tu dagaa wa baharini.
Mkishawarudisha mnaanza kuwauzia wake zenu,mungiki kweli nyie ..mbavuKQ tupo busy kuwapeleka watu New York![]()
Siyo hawapendi ni makuzi tuu, tuliokua tukila gongola, papa na changu hatuna shida.Sasa mtapenda vipi hata samaki wenyewe wa baharini hamkuli,Nina rafiki kutoka Tanzania bara hata pweza hawezi akamguza.
K*ma si sabuni, haiishi 😂😂😂Mkishawarudisha mnaanza kuwauzia wake zenu,mungiki kweli nyie ..mbavuView attachment 1256828
Safari za winter si zilikatishwa literally after being launched au ni unafiki tu unaletaKQ tupo busy kuwapeleka watu New York 😂😂😂
Y'all kunyan niggas are nastyK*ma si sabuni, haiishi 😂😂😂
Hivi wewe ni me au ke?Sisi soda zetu ni 300 ml na 500 ml ,300 ml ni 30 Bob na 500 ml ni 40 Bob Tu.
Tena sana..nchi ya viwanda mnajenga kitu low quality km hicho..kwel jamani nchi ya asali na maziwa wakiongozwa na dikteta maguPwahahaha!!! Imekuuma kijana.
How does it put food on your table?Hivi wewe ni me au ke?
Wabara wengi samaki wao ni Sato na sangala.Siyo hawapendi ni makuzi tuu, tuliokua tukila gongola, papa na changu hatuna shida.
Wakenga bwana kumbe wewe ni manzi (kunguru)
boundary, K/koo - Upanga